mkwara wa UDA

Hivi ni kwanini tunang'ang'ania sana kuingiza mlima k/njaro ktk maajab 7 ya dunia wakati tuna vivutio vingi tu! Unajua hii ni nchi ya kwanza ambayo watoto wa darasa la 7 wanahitimu bila kujua kusoma & kuandika, ila wanafaulu mitihani? kwanini tusitumie hayo yawe maajabu ya kwanza ya dunia? TAFAKARI."....lol
 
Back
Top Bottom