samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,594
- 4,798
Mh Rais atachoka na Misiba
Rip gen kyaro
Sijui kama ataahirisha tena safari!
Mh Rais atachoka na Misiba
Rip gen kyaro
pumzika kwa amani jenerali.....Aliyekuwa mkuu wa majeshi 1988 hadi 1994 jenerali Ernest Mwita Kyaro amefariki dunia saa 3:55 asb. akiwa njiani kuelekea Bugando hospitali.
Tweet by ITV
Nadhani kwa kuonesha utofauti wetu ..wa kimtazamo...na utaifa wetu ...,wana JF tuonyeshe njia ....tuwape umuhimu mkubwa wiki hii yote ...
mkuu wa jeshi la polisi mstaafu harun mahundi
mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mstaafu Ernest Mwita Kiaro...
Kwa kuwa hawa wanafiki na wapambe wao wanapita humu wataona aibu ....na kujirekebisha.....
1. Tuweke thread stick ya kuwakumbuka mashujaaa waliotukuka ernest mwita kiaro na harun mahundi
2.tuweke picha zao angalau ndogo kwenye home page yetu hadi ijumaaa
MoD Naomba kutoa hoja......kwa minajili ya kunyoosha taifa ....na kurudisha misingi na priorities kadiri inavyotakiwa.....
Naamini na yeye mazishi yake yatakua LIVE kwenye LUNINGA ya TBC1 kama ya KANUMBA....................
RIP Mkuu wa Majeshi wetu Mstaafu
Mh Rais atachoka na Misiba
Rip gen kyaro
Wakati nchi imewekwa kwenye maigizo ya Kanumba .........tunampoteza shujaa wa vita ..,mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Generali Ernest Mwita Kiaro .....ikiwa ni wiki moja baada ya kumpoteza Mkuu wa jeshi la polisi mstaafu inspecta general Haroun Mahundi.........
Sasa Mungu anataka kutonyesha watanzania watu muhimu kwetu...