mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
aisee JK wetu atakua busy sijui ataanzia msiba wa DC wake au atawahi ethiopia...Poleni kwa wafiwa
Kafumu aanza kupiga jalamba!R.I.P mkuu umetuachia pengo ccm tuliwaandaa wakuu wa wilaya kuchakachua mchakato wa katiba hata hivyo wenzako wataendeleza
RIP- Sengerema DC
that is only word i can say momently.
Mkuu SENGEREMA NA SERENGETI ni vitu viwili tofauti!RIP- Sengerema DC
that is only word i can say momently.
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Afariki dunia.
Anaitwa Captain mstaafu James Charles Lyamungu.
Source ITV