Mkuu wa Wilaya ya Mbozi atangaza kujiuzulu!

Kweli lakini? Itakuaje atangaze kujiuzulu mbele ya mkuu wa mkoa wakati yy kateuliwa na presidee? Haijakaa sawa hii
 
mk.jpg


Mkuu wa wilaya ya mbozi Gabriel Kimolo atangaza kujiuzuku wadhifa wake


 
Kweli tumefika pazuri, hadi mkuu wa wilaya anaamua kujiuzulu?
 
Huyo jamaa ni ana maono sana na amevunja mwiko wa kipuuzi tuliojiwekea.....
Mtu makini ni ngumu sana kufanya kitu katika huu mfumo
 
Kweli lakini? Itakuaje atangaze kujiuzulu mbele ya mkuu wa mkoa wakati yy kateuliwa na presidee? Haijakaa sawa hii

Atakuwa ametishia tu mbele ya Kandoro,labda kastukia inshu Kandoro mzee wa Ifunda anawabeba hao panyabuku ndani ya halmashauri
 
Mhhhhh huh........ Pole Na hongera Kimolo! Amestaafu Na amechoka.
 
Nimemsikiliza Na nimemwelewa. Hili ni somo kwa JK kuwa ateue madc kwani wanafanya Kazi bila mpango mkakati kwani wengine wamestaafu waatarajia kuachwa, wengine hawajui kaa watakuwepo am la, hawana ratiba wKijua Siku yoyote wanatangazwa.
 
mi namp big up by the way ana ushahidi kuwa kuna mwanya wa rushwa waziri wa kilimo kapokea au huyu waziri wa kilimo ana kampuni yake ya ulanguzi inanunua kahawakwa sh 1,000 na kuipeleka moshi kuiuza kwa sh 7000 hayo ndio madai yake na pili anamlaumu rais kikwete kwamba tangu mwaka 2010 mpaka leo hajampa mkataba mwingine hivyo huyu rais pia anaonekana kuchanganyikiwa au kulewa na madaraka yake
 
Ah!



Hii ni rekodi mpya nadhani tangu tupate uhuru halijawahi kutokea jambo la ajabu kama hili.....!!

DC kujiuzuru kwa ubovu wa serikali iliyopo mahakamani??!!!!

Mie namwona jamaa kama shujaa mkubwa ktk harakati za ukombozi mya wa nchi yetu.............!!

Sasa huyu aje aanze kutupa mawe kwenye nyuma ya Magamba!! .......patakuwa patamu mno!


..
 
Hongera kwa uamuzi kwani tumechoshwa na wababaishaji na hiki cheo yafaa kifutwe
 
Nimemsikiliza huyu jamaa ni shujaa kuliko kina Mkulo waliokataa kung'oka. Ametaja udhaifu wa JK na serikali yake kama chanzo. Inakuwaje mtu unashindwa kuteua Ma DC wapya tangu 2010? Halafu amemtuhumu Waziri wa Kilimo kwa ufisadi. Kama anatoka Babati naweza ku guess what next.
 
Wadau, nimesikia yasemavyo magazeti kuwa DC Mbozi aachia ngazi.Bahati mbaya niko mbali na mjini nashindwa kupata gazeti.Kuna mdau atakuwa na taarifa za kina ni kwa nini kaachia ngazi?

Source:Radio Wapo
 
Back
Top Bottom