Mkuu wa Wilaya ya Kyela asimamishwa kazi baada ya kufumaniwa na mkewe

Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!

...kweli kabisa. Kwa mke mchepukaji hii wala sio tatizo. Tatizo ni kwa mke safi asiyejua kuchepuka.
 
Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!

Mkuu tupe hint kidogo. Yaani vipi kibusara? Baba wa nyumba alipe kitu gai kwa huyo mama aliyeibiwa? Epu tujuze!
 
wamenikumbusha maadili yaliyowekwa kwenye ile rasimu ya wananchi, maadili ya ile rasimu ingewala wengi sana.
 
Ujobhile gwa kwa Mwakalili. Kyela kwa ngoma ni noma. Mkuu wa wilaya alitakiwa awe mfano mzuri kwa wananchi wake. Na pia kama alishindwa kabisa then angejitahd kujificha asimuingize ndani huyo hawara yake. Kitendo cha kulala na hawara ndani ya nyumba anayoishi na mkewe ni kitendo cha dharau sana kwa mkewe.

Yataka moyo
 
Attachments

  • IMG_32268128762645.jpeg
    IMG_32268128762645.jpeg
    9.6 KB · Views: 395
Huyo Mkuu wa Wilaya kaonewa. Mbona Mwigulu alifumaniwa Igunga kapewa unaibu Waziri badala ya kufukuzwa?
 
Huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!

ninii hiloo kawawekea na vitega uchumi kabisa kama unaingia makaburini sinza kuna ukumbi wa Mwika

kwa mbele kuna kingine kako kama hekalu la ......UPANDE WA KULIA LINAINGIZA WATU WENGI SANA

UKIHUDHURIA BASI UNAONGEZEA KIPATO CHA WATOTO WETU HAO/.////////

Huyu alitakiwa kukaachini kumuuliza mume wangu ishatokea acha ujinga sasa unanipa changu ngapi tuyamalize

easy

we unasoma dar kuna anaekuchungulia ukiingia ngenenga kitutu lodge sinza loh
 
Aisee!! Kweli nimeamini mchawi wa mwanamke ni mwanamke!! Kwa hiyo hiki ndicho unachomshauri mwanamke mwenzio??
Wewe sikiliza, kwanza mimi na wasiwasi huyo nae hakuwa mke, labda alikuwa yupo kwa ajiri ya kuchuna hela tu ajiondokee.
Mke wa kweli hawezi kumfukuzisha kazi mume wake hata kama huyo mume ana kosa, huyo mwanamke alishapata alichotaka(pesa?)
na sasa ameamua kumharibia jamaa ili akale ya washkaji wengine. Mume na mke ni mwili mmoja, huwezi kumdhalilisha mwenzi wako kwa watu kama kweli una akili timamu. cc @Victoire
 
huyo mke nae mjinga angeyamaliza na mme wake au kifamilia tu!sasa kumchafua mme wake ndo nini?kina magufuli hadi wana vimada na mke anajua na anaishi na mtoto wa kimada wa magufuli!
Sijafurahia kitendo cha mke wa huyu mkuu wa wilaya!mimi siwezi muabisha namna hii mme wangu!wangeyamaliza kibusara tu!
i love you!
 
Back
Top Bottom