DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.

Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.

Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.

Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.

Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.

509c0e7012df18c89bb2811f033500d9.jpg

175ccad07cd59ab882d255a614f5df31.jpg

1e2bffb7c7ef0971ec134aef1daebc24.jpg
 
1462402152211.jpg
1462402174529.jpg
1462402194489.jpg
DC HAPI ATEMBELEA GHAFLA HOSPITALI YA MWANANYAMALA USIKU LEO.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.

Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.

Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.

Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.

Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.
 
Kwahiyo @issawena ulitaka Hata Simu angeacha Nyumbani kwakuwa angepiga Picha sio?

Na Unatarajia Umma utajuaje kama Hamjapiga Picha wala hamjazungumza na Media.?
 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.

Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.
Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.
Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.
Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.

509c0e7012df18c89bb2811f033500d9.jpg

175ccad07cd59ab882d255a614f5df31.jpg

1e2bffb7c7ef0971ec134aef1daebc24.jpg

JE aliandaa waandishi wakampiga picha?
 
JE aliandaa waandishi wakampiga picha?
Hapa kuna shida ya kiuongozi kabisaa. Kama alishitukiza kutembelea hapo hospitali hizo picha za kujiandaa na kupiga kwa lengo la kurushwa hapa zimetoka wapi na za kazi gani hapa? Viongozi wanatakiwa wafanye kazi na si kufanya sarakasi za maonyesho hapa. Nawe na mleta mada hakika kama angelikuwa ana japo chembe ndogo tu ya utambuzi katika fahamu zake hakika asingelithubutu kuleta upuuzi huu hapa.
 
Wawe

Unajua hawa Vijana sasa wanamfanya Magu wa kuja na mshamba sana. Kwa nini kumfanyia usanii hivi? Ai wanamuona hawezi gundua kuwa wanamchezea kekundu keusi?
Shauri zai, kuna siku atakasirika! Atachoka kuwaona hawa Vijana aliowapa nafasi wanatoa mwanya mambo ya kama yule kijana wa Arusha yanajitokeza
 
Hapa kuna shida ya kiuongozi kabisaa. Kama alishitukiza kutembelea hapo hospitali hizo picha za kujiandaa na kupiga kwa lengo la kurushwa hapa zimetoka wapi na za kazi gani hapa? Viongozi wanatakiwa wafanye kazi na si kufanya sarakasi za maonyesho hapa. Nawe na mleta mada hakika kama angelikuwa ana japo chembe ndogo tu ya utambuzi katika fahamu zake hakika asingelithubutu kuleta upuuzi huu hapa.
Maigizo + Mzuka= Ccm
 
Tz nchi ya mizuka wajinga kibao tunaona wanaelewa kazi. Serikari ya awamu ya 5 naifananisha na kitabu chenye title kubwa nzuri kilichopambwa kwa cover zuri alafu ndani akuna lolote empty page tumia akiri fatilia kwa kina utaona watu waoga kutetea haki zao wanaungana na mzuka hata kwa kinafiki dimrad kurinda maslahi
 
DC HAPI ATEMBELEA GHAFLA HOSPITALI YA MWANANYAMALA USIKU LEO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Salum Hapi leo usiku ametembelea hospitali ya Mwananyamala kujionea utoaji wa huduma hasa wakati wa usiku.

Hapi ambaye alitinga hospitali hapo kama mgonjwa wa kawaida akivalia kofia ya mkeka alitembelea mapokezi, vyumba vya daktari na baadae kumshtukiza kiongozi wa madaktari kwa usiku huo ofisini kwake akimuelekeza kumtembeza sehemu mbalimbali za hospitali hiyo ambayo Mkuu wa wilaya alitaka kuziona.
Mh. Hapi alitembelea wodi ya watoto, wanaume, wodi ya kina mama, wodi ya dharura (emergency) na kumalizia chumba cha kuhifadhia maiti (mortuary) ambako alizungumza na wagonjwa, kuwajulia hali na kujionea changamoto zinazowakabili.
Akiwa chumba cha kuhifadhia maiti Mh. Hapi alifanya mazungumzo na mhifadhi maiti na kujua changamoto zinazoikabili ofisi yake.
Hospitali ya Mwananyamala inatajwa kuwa na changamoto nyingi za utoaji huduma hali inayosababisha malalamiko ya mara kwa mara ya wananchi.

Kwa Habari zaidi tembelea
www.peterdafi.blogspot.com
Gafla NA cameras mnavichekeshooo
 
Huyu alikuwa anatokea Club akaibukia Hospital. Kuna wenzie waliwahi kuibuka machinjioni usiku wa manane kama wachawi lakini sasa hivi hata asubuhi hawaendi kokote. Hii nchi Sanaa zimezidi, kama mko serious tengenezeni Standard Operating Procedures kwa hospital zote Tanzania na sio kuibuka ibuka Tu. Kwa hiyo DC wa Tandahimba naye kesho asilale aende hospital ya wilaya usiku. CCM inaongoza nchi kwa style ya wapiga ramli
 
DC Hapi alipotoka alikwenda Nje ya Hospitali nakununua Dawa, Kisha Kudai Risiti Jambo ambalo Lilizua Mtafaruku kwa Mama Muuza Duka, Mama alitoa maneno makali na yakejeli kwa Kumwambia DC Kuwa hana Risiti kama Hataki Alete Dawa amrudishie Pesa yake.
Ndipo DC alipobadilika nakumkalipia Mama Kabla hajajua Nani anazungumza nae akastuka na kutoa Risit
 
Watu wa kulalamika kama nyinyi hata ukipewa nini hutoridhika
 
DC Hapi alipotoka alikwenda Nje ya Hospitali nakununua Dawa, Kisha Kudai Risiti Jambo ambalo Lilizua Mtafaruku kwa Mama Muuza Duka, Mama alitoa maneno makali na yakejeli kwa Kumwambia DC Kuwa hana Risiti kama Hataki Alete Dawa amrudishie Pesa yake.
Ndipo DC alipobadilika nakumkalipia Mama Kabla hajajua Nani anazungumza nae akastuka na kutoa Risit
Huyu mama ni mmoja wa wafanyakazi ambao hawastahili kuwepo hapo walipo.
 
DC Hapi alipotoka alikwenda Nje ya Hospitali nakununua Dawa, Kisha Kudai Risiti Jambo ambalo Lilizua Mtafaruku kwa Mama Muuza Duka, Mama alitoa maneno makali na yakejeli kwa Kumwambia DC Kuwa hana Risiti kama Hataki Alete Dawa amrudishie Pesa yake.
Ndipo DC alipobadilika nakumkalipia Mama Kabla hajajua Nani anazungumza nae akastuka na kutoa Risit
Mama leo lazima atembelewe na watu wa mapato
 
sasa hizi safari zenu za kushtukiza mnawaambiaga waandishi wa habari au huwa mnaenda na waandishi wenu na wapiga picha

miaka mitano ya maigizo na sifa inaendelea,,muda ndio utakaosema.
 
Back
Top Bottom