Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,237
Star Tv Habari
Mkuu wa kaya katuchoka kweli kumbe mkuu wa Wilaya ya Ilamba Mh. Nawanda, Yahya kumbe ni denti wa Finland na anasoma Majuu Finland na anatarajia kumaliza shule yake mwaka 2014 sasa sijui anaongoza wilaya kwa rimoti au.
Wakuu amekili haitamuathiri katika utendaji wake wa kazi na atakuwa anatenga muda kufanya kazi za wilaya
Ukistajabu ya Musa .........
Mkuu,
IRamba....amekiRi.