mkuu wa wilaya ya hai kwenda shimiwi

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,799
jamani hivi huyu mkuu wa wilaya ya hai ana nini, mi namshangaa eti kaacha kazi za serikali anakwenda kwenye mashindano ya michezo SHIMIWI iz it right?
 
Anawajibika kwa rais huyo,wananchi wanapelekewa mteule,tatizo ni mfumo wa kuwapata hawa jamaa.
 
jamani hivi huyu mkuu wa wilaya ya hai ana nini, mi namshangaa eti kaacha kazi za serikali anakwenda kwenye mashindano ya michezo shimiwi iz it right?

tumewahi kujiuliza serikali inatumia shs ngapi kila mwaka kwa ajili yamichezo ya shimiwi, wakati wilaya 40 zina njaa wananchi wengine wako busy wanavutana kamba, kucheza bao, karata nakadhalika. Kwa gharama ya serikali.

Ukiuliza umuhimu wa shimiwi, wanasema michezo inajenga afya, mbona hatuangalii afya ya wasio na chakula au hiyo sio afya?????our priorities kweli zinachekesha.
 
Afya ni muhimu kama wengine nao wamekula angalau mchemsho wa mizizi na matunda!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom