Mkuu wa wilaya ya Hai ana PhD feki!

Kwani sheria zilizombana Mh Kihiyo wao haziwahusu?

Mkuu, suala hili limepamba moto sana hapa kwetu, Dk.Mwakyembe aliwahi kuonya kuhusu saula hili lakini alipuuzwa - binafsi nina imani kwamba mbele ya Dk.Magufuli saula hilo litakuwa addressed kikamilifu.
 
aise tunaweza sema tunawasomi kumbe ni majina tu ila kichwani hamna kitu ndo maana uwiz mwingi sana kumbe vibuyu vitupu.
 
Hivi kweli kuna sababu ya kushangaa utendaji mbovu wa bunge na vyombo vyake? Je, ni yeye peke yake mwenye maringo kama haya ya kujipachika. Sasa anajiita profesa!
 
Siku hizi ni Profesa Sigalla eti, mtu ambaye hana rekodi ya kufanya kazi za kitaaluma Chuo Kikuu sijui anakuwaje Profesa
 
Kuna kundi la UVCCM wa zama za Nchimbi liliibuka kwa nguvu zote kusaka PhD kwa gharama yoyote ile na huyo Mkuu wa Wilaya ya Hai ni mmoja wao, kwa hiyo sishangai kusikia kwamba ana PhD, na sijui kaisoma lini, na ni ya nini.

Bongo kila kitu kinawezekana!

UVCCM muheshimiwa Catherine Magige viti maalumu Arusha muulize hata cheti cha form four anacho? yeya nija laka kamili ni Pamela, walizeni wafanyakazi wa bank ya barclays bank Dar, watawaambieni ukweli
 
Catherine Magige je una cheti kweli wewe? je na jina lako la Pamela mbona lilikufa ghafla maana nilishangaa tu mbunge viti maalum Arusha Sura naijuia jina geni, nikaanza sasa udadis hadi nikagundua magumashi, UVCCM mko fake mno kwa kweli, sherikali ya wengi ma fake,
 
UVCCM muheshimiwa Catherine Magige viti maalumu Arusha muulize hata cheti cha form four anacho? yeya nija laka kamili ni Pamela, walizeni wafanyakazi wa bank ya barclays bank Dar, watawaambieni ukweli
Huyu hata kuandika tu kiswahili fasaha hajui ,hayo maajabu yapo kwenye page yake ya Instagram

Hivi viti maalum ni vya kufutwa tu ni kupoteza hela za wananchi kwa upuuzi wa haki sawa
 
Bahati ya mwenzio usilale mlango wazo lakin mmmmh unaishi kwa presha kwa misifa ya kijinga
 
Huyu hata kuandika tu kiswahili fasaha hajui ,hayo maajabu yapo kwenye page yake ya Instagram

Hivi viti maalum ni vya kufutwa tu ni kupoteza hela za wananchi kwa upuuzi wa haki sawa
Kwa hiyo mmiliki halisi wa hilo jina anakuwa wapi?
 
Back
Top Bottom