Hawa nao wanafuata njia za wakubwa waliowateua. Usisahau hawa wanawajibika kupeleka kitu kidogo kwa wakubwa wao kila baada ya kipindi fulani. Tuliamua kubomoa msingi wa taifa, hakuna njia nyingine, lazima taifa lenyewe liendelee kubomoka.Hii nchi ni ya kishenzi kwelikweli.Sasa tunaowapa dhamana ya kulinda mali zetu ndio wanafanya kazi ya kuiba.Ni bora sasa tuchukue hatua wenyewe kulinda nchi yetu.