Mkuu wa wilaya Mbeya awatusi waalimu

da jamaa ni **** xana sasa kama yeye alifundishwa na watu walofel anaongea nini huo ukuu wa wilaya aliusomea wap?
 
Aisee, walimu wamefanywa jalala kila mwenye hasira zake anamalizia kwao...huyu dc amekosa nidhamu, awajibishwe
 
Dr Norman Sigalla, Mkuu Wa Wilaya Mbeya. "Ualimu Ni Fani Ya Watu Waliofeli Hivyo Hawana
Sababu Ya Kudai Nyongeza Ya Mishahara".

Waalimu wenzao Kenya kimeeleweka! asubiri hapo ofisini kwake aone yatakayompata
 
Back
Top Bottom