Nova Makunga
Member
- Mar 24, 2012
- 64
- 39
Mkuu makunga vp?..
Salama ndugu yangu tunawatumikia wananchi na wana haki ya kutuhoji,kutushambulia na pia kupata majibu sahihi
Mkuu makunga vp?..
Duuh,
Kumbe na mwenyewe yupo na hapa kakujibu,
Ingawa binafsi hata sijaelewa lugha uliyotumia nadhani sasa mtaelewana
Ukiandiak kiswahili fasaha, tutajua cha kuchangia, kwa sasa pambana na huyu DC mwenyewe
Mkuu rekebisha bandiko lako la kwanza ili ueleweke,na pia achana na hizo lugha mbovu,yeye keshaonywa na members wengine na kawa mstaarab,licha ya kwamba ni wa magamba,lakini kama anajadiliana kwa hoja,JF haibagui,ni hoja kwa hoja.mbona haueleweki ? uandishi wake mbovu kuliko mimi ambaye si muandishi na ulikuwa unanicheka.watu watasikiliza habari soon.wataona ukanjanja wako.umeanza kwa matusi sasa unajifanya malaika.nani kakufundisha kuja jibu hoja.watu watakuja sema kila kitu.kwani kupewa nafasi za bure ndio ujisahau hivyo?m/kiti wa ccm kazidi sana.kama chama hakina mvuto si mmalizie muda wenu mle kona.nani kakuambia mtachaguliwa tena?
mbona haueleweki ? uandishi wake mbovu kuliko mimi ambaye si muandishi na ulikuwa unanicheka.watu watasikiliza habari soon.wataona ukanjanja wako.umeanza kwa matusi sasa unajifanya malaika.nani kakufundisha kuja jibu hoja.watu watakuja sema kila kitu.kwani kupewa nafasi za bure ndio ujisahau hivyo?m/kiti wa ccm kazidi sana.kama chama hakina mvuto si mmalizie muda wenu mle kona.nani kakuambia mtachaguliwa tena?
unapenda show off njoo na rongoi.
Mkuu rekebisha bandiko lako la kwanza ili ueleweke,na pia achana na hizo lugha mbovu,yeye keshaonywa na mebers wengine na kawa mstaarab,licha ya kwamba ni wa magamba,lakini kama anajadiliana kwa hoja,JF haibagui,ni hoja kwa hoja.
Sasa anza kwa kurekebisha bandiko la kwanza,then ulete hoja kwa lugha ya kiungwana.
Salama ndugu yangu tunawatumikia wananchi na wana haki ya kutuhoji,kutushambulia na pia kupata majibu sahihi
Ndugu yangu moja sijamfukuza mtu madarakani lakini pia sijaeleza nani kaiba pembejeo,ule ni mkutano wa hadhara kati ya wananchi wa kijiji cha kwasadala na mkuu wa wilaya,wananchi wale wana kero zao kibao za muda mrefu,lakini pia vikao vya vijiji vina sheria na kanuni zake zikiwemo namna ya kuviitisha,uendeshaji na jinsi ya kutoa maamuzi.masuala uliyoongelea bado ni tuhuma mfano la wizi wa pembejeo na mengine mengi yakiwemo ya kukuza maeneo ya ardhi na kadhalika yakiwahusu mwenyekiti wa kijiji na ofisa mtendaji wake.nilichofanya ndugu yangu ni kuwaweka nje ya ofisi viongozi hao ili wataalamu wangu watano ambao ni pamoja mwanasheria wa halmashauri,mkaguzi wa mahesabu,afisa ardhi na katibu tawala wa wilaya watumie muda wa siku Saba kutafuta ukweli wa tuhuma hizo na baada ya hapo tutaita mkutano wa kijiji utakaofuata taratibu na kanuni za kuitisha vikao va vijiji.uamuzi wa mwenyekiti utafikiwa na wananchi wenyewe na la mtendaji wa kijiji ni la mwajiri wake ambapo kiutaratibu ni mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya.kama kutakuwa na suala lolote la kijinai tutapeleka katika mamlaka husika.hayo ndiyo maamuzi yangu katika kikao kile ndugu yangu.
Ndugu yangu nipo makini na uwezo ninao lakini ningeshauri hizi taarifa kabla ya kuchangia mada tuwe nasi tunajiridhisha kama ziko sahihi wengi wana post vitu ambavyo si vya kweli na hivyo kuonekana kana kwamba hatufai na wengi wetu tunashindwa kutoa ufafanuzi mfano hii taarifa nafahamu lengo la mtoa mada alitaka katika mkutano ule wa hadhara niamrishe watu wapige kura ya kumuondoa madarakani mwenyekiti lakini jiulinze ndugu yangu huo ni utaratibu wa mkutano wa kijiji ? Lakini pia amejichanganya kwa kudhani mimi nimemuondoa nilichofanya ni kuwasaidia ili baadaye waweze kutoa maamuzi sahihi,nawasilisha
Ndugu yangu nipo makini na uwezo ninao lakini ningeshauri hizi taarifa kabla ya kuchangia mada tuwe nasi tunajiridhisha kama ziko sahihi wengi wana post vitu ambavyo si vya kweli na hivyo kuonekana kana kwamba hatufai na wengi wetu tunashindwa kutoa ufafanuzi mfano hii taarifa nafahamu lengo la mtoa mada alitaka katika mkutano ule wa hadhara niamrishe watu wapige kura ya kumuondoa madarakani mwenyekiti lakini jiulinze ndugu yangu huo ni utaratibu wa mkutano wa kijiji ? Lakini pia amejichanganya kwa kudhani mimi nimemuondoa nilichofanya ni kuwasaidia ili baadaye waweze kutoa maamuzi sahihi,nawasilisha
Wewe jibu swali, mbona unakuwa kama sio kilaza vile? Umeulizwa vigezo vya kuteuliwa kuwa DC ni vipi, wewe unapiga blaa blaa tu! Hata unavyoandika sentensi hazileti maana na zenye maana hazina mantiki! Sasa nenda kwenye swali la msingi, wewe una vigezo vipi vilivyokufanya uteuliwe kuwa DC? Au ni kujipendekeza kwa wakuu wa Mabwepande? Maana unavyoandika na ku-argue inaonyesha kabisa wewe uliishia Form 4 yenye Div. IV ukaenda DSJ na baadaye ukaajiriwa na makampuni ya Iba Pole Pole (IPP) ukawa kuwadi wa Magamba full stop! Ama kweli ni nchi hii tu ndio utakuta AKILI NDOGO ZIKIONGOZA AKILI KUBWA!Ndugu yangu nipo makini na uwezo ninao lakini ningeshauri hizi taarifa kabla ya kuchangia mada tuwe nasi tunajiridhisha kama ziko sahihi wengi wana post vitu ambavyo si vya kweli na hivyo kuonekana kana kwamba hatufai na wengi wetu tunashindwa kutoa ufafanuzi mfano hii taarifa nafahamu lengo la mtoa mada alitaka katika mkutano ule wa hadhara niamrishe watu wapige kura ya kumuondoa madarakani mwenyekiti lakini jiulinze ndugu yangu huo ni utaratibu wa mkutano wa kijiji ? Lakini pia amejichanganya kwa kudhani mimi nimemuondoa nilichofanya ni kuwasaidia ili baadaye waweze kutoa maamuzi sahihi,nawasilisha