Mkuu wa Polisi Serengeti avuliwa madaraka

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
187
Asp Paulo Mng'ong'o aliyekuwa mkuu wa Polisi Serengeti ambaye pia siku kadhaa zilizopita yeye, Afisa usalama Wilaya hiyo Said Musa na askari wengine walivamia hifadhi ya taifa ya serengeti na kukamatwa na askari wa Tanapa amevuliwa madaraka.

Je,,hii tu inatosha?kumvua madaraka lkn akabaki na cheo chake na wala asifikishwe mahakamani?Anyaway,,sitashangaa ikiwa hata wale waliotorosha wanyama kupitia KIA bado wapo wanadunda mtaani
 
Back
Top Bottom