Mkuu wa nchi mbona kimya umesaini tu basi?

Watanzania baada ya ww kusain tunasubili , je tuelewe tunasubili nini marekebisho ambayo yatatoka kwetu au...?

Swali zuri mkuu- Binafsi sishangai kwani ujumbe tuliopewa na Ikulu ulitukanganya kwani:
- Siku zote tunavyoelewa unaposema umesaini tunaamini umeridhika kuwa ni muswada mzuri na kamili hivyo unafaa kuwa sheria na unausaini ili uanze kutumika. tofauti na mingine huu ulituambia umesaini ila wenye mawazo ya kuboresha sheria hii walete maoni yao. maneno ambayo yoyote akikuambia alikuelewa anakudanganya, hakuheshimu na ankuchukulia hauko serious.

Kwa mkangayiko huu sishangai ukimya unaofuatia

LABDA TUNASUBRI NCCR nao wapate kikombe ikulu ndiyo tujumuishe
 
Serikali haina pesa za kuwezesha watu wapite kupata maoni ya wananchii, nchi imechoka jamani, imefulia. wamekula mpaka mbegu.
 
Serikali haina pesa za kuwezesha watu wapite kupata maoni ya wananchii, nchi imechoka jamani, imefulia. wamekula mpaka mbegu.

Siyo hilo tu bali ni sehemu ya mbinu-soma "NIONACHO MIMI" na Mtu wa Mungu. Nyie subirini tu; kwani kuandikia mate na wino upo!!!!!!!!!!!!!!!Sisiemu ni chama cha magamba/majoka; tangu lini majoka yakasema ukweli? Soma Biblia katika MWANZO 2:16-17 na MWANZO 3:1-14 ndiyo utajua sisiemu na siriksli yake. Na bado makubwa zaidi yanakuja we tega macho!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu kwani salam za mwaka mpya tayari??subiria salam za mwaka mpya akiwa serengeti ndo utajua uzalendo wa huyu ndugu.
 
Siyo hilo tu bali ni sehemu ya mbinu-soma "NIONACHO MIMI" na Mtu wa Mungu. Nyie subirini tu; kwani kuandikia mate na wino upo!!!!!!!!!!!!!!!Sisiemu ni chama cha magamba/majoka; tangu lini majoka yakasema ukweli? Soma Biblia katika MWANZO 2:16-17 na MWANZO 3:1-14 ndiyo utajua sisiemu na siriksli yake. Na bado makubwa zaidi yanakuja we tega macho!!!!!!!!!!!!!!
Subiri salam za mwaka mpya..
 
Back
Top Bottom