Mkuu wa nchi anajua sana kutoa pole kwa wafiwa.

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
mkuu.JPG

Mkuu wa nchi ya Tanzania akimpa pole mtoto wa marehemu Balozi Raphael Lukindo.
 
Mtoto mwenyewe mrembo, Mh mkuu Wa Kaya anavuopenda chuchuz lazima namba ya Simu aipate.
 
mbona huwa hasimami sawasawa anasimama upande? bega moja huku lapili hukooooo.. picha zake zote hivyo
 
Amshauri nae agombee "ubalozi" wamfute machozi kwa kufiwa na baba yake. Maana vyeo vya ccm vya kufutana machozi.
 
Hana kazi ya kufanya, akiwa Ikulu anawaza safari za nje na kuulizia wapi kuna msiba ili awahi kwenda kutoa pole!!!
Mambo mengine yanaweza kufanywa hata na wakuu wa wilaya ama mikoa kwa niaba yake.
 
mbona huwa hasimami sawasawa anasimama upande? bega moja huku lapili hukooooo.. picha zake zote hivyo

Wakati ule alipoanguka jangwani ,walisema ana spine problem na ndio maana anasimama upande na kuzunguka na kile kiti chake!!
 
Hana kazi ya kufanya, akiwa Ikulu anawaza safari za nje na kuulizia wapi kuna msiba ili awahi kwenda kutoa pole!!!
Mambo mengine yanaweza kufanywa hata na wakuu wa wilaya ama mikoa kwa niaba yake.

Mbona mpaka sasa hajatoa pole kwa wenzake wa arumeru?
 
Back
Top Bottom