Mkuu wa mkoa wa Iringa damu hii imemwagika mikononi mwako

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
540
507
Kama mtu ambaye ndiyo unayehusika na mambo ya usalama, kwa nini yanatokea haya bila ya kuyazuia? Binafsi wewe pamoja na mkuu wa polisi wa Iringa ambaye anaonekana akiwepo kwenye tukio la mauaji ya Daud Mwangosi lazima muwajibike katika umma wa Watanzania.Tunajiuliza sana wananchi kwa nini fiesta inaendelea na wanakusanya watu wengi kwani wao sensa haiwahusu?Jimbo la Bububu Zanzibar wameanza kampeni wao sensa haiwahusu.Umma umekataa,na utazidi kukataa njia manazotumia kuminya vyama vingine hususanu CDM. Ushauri wangu kwa serikari ya CCM ni kujikita kupunguza umaskini kwa watanzania kwa nyanja zote na si kuua watu wasio na hatia kama lilitokea mkoani Iringa.
Watawala wetu wameanza kutafta njia za kujinusuru kwani wamebanwa na CDM uma hauwataki tena kwa mambo yao wanayoyafanya.Wewe kama mkuu wa mkoa tafadhari kumbuka kwamba "HUWEZI TENA KUWALAZIMISHA WATU WAENDE SEHEMU ISIYO REKEBISHIKA (CCM). Nelson Mandela alishawahi kunena hivi kama hapo juu kwa kusema "There is nothing like returning to a place that remains unchanged to find the ways in which yourself have altered" USHAURI WANGU WEWEW PAMOJA NA MKUU WA POLISI NI KUWAJIBIKA TU KWA KTENDO KILICHOTOKEA KWANI UMMA UMEKASIRIKA SANA NA MAUAJI YA MWANDISHI WA HABARI,NYINYI NDIYO WA KULAUMIWA KWA SABABU JESHI LIKO CHINI YENU.
 
CCM = vampire diaries !!! damu ndo chakula yao! SO KWAO KIFO CHA DAUDI NI CHAKULA KIMEPATIKANA! NA WALIPOONA ULE UTUMBO MATE YALIWATOKA!
 
Umemsahau kwamba ana cheti cha ubingwa wa mauaji waulize waendesha bodaboda wa Songea kama Ishengoma hakuwa mkuu wao wa mkoa walipoouawa wanne Kikwete aliwapa promotion kuja Iringa Kamhanda na Ishengoma ili kuuwa wananchi wa Iringa kuwashikisha adabu,kama wataikataa CCM but history will tell
 
Umemsahau kwamba na cheti cha ubingwa wa mauaji waulize waendesha bodaboda wa Songea kama Ishengoma hakuwa mkuu wao wa mkoa walipoouawa wanne Kikwete aliwapa promotion kuja Iringa Kamhanda na Ishengoma ili kuuwa wananchi wa Iringa kuwashikisha adabu,

Umenikumbusha mkuu,kweli huyu mama na kaka yake Kamuhanda ndiyo walioua wananchi kule Songea! Hawa Wahaya wenzangu ni wauaji wakubwa wa wananchi wasio na hatia!
 
Na hii hatari ya mkuu wa mkoa kuwa ndio mwekiti wa usalama ktk mikoa wanatumia polisi wanapojisikia pumbavu kabisa
 
Haya yanamwisho. The good thing is that damu ya watu waliowakatisha uhai itawasumbua maisha yao yote.
 
Mimi nawashangaa hawaogopi kabisa kuhusu nini kitatokea huko mbele watu wote wanaofanya hivi,mfano askari aliyeonekana akimfumua utumo Daud,atasema nini kwa watoto wake kama yeye?atawaambia nini marafki zake?au huko aliko anasema yeye ni shujaa? Na sitoshangaa kuskia baada ya miezi kazaa kapandishwa cheo.Lakini malipo hapa hapa duniani.
 
Kama mtu ambaye ndiyo unayehusika na mambo ya usalama, kwa nini yanatokea haya bila ya kuyazuia? Binafsi wewe

pamoja na mkuu wa polisi wa Iringa ambaye anaonekana akiwepo kwenye tukio la mauaji ya Daud Mwangosi lazima muwajibike katika umma wa Watanzania.Tunajiuliza sana wananchi kwa nini fiesta inaendelea na wanakusanya watu wengi kwani wao sensa haiwahusu?Jimbo la Bububu Zanzibar wameanza kampeni wao sensa haiwahusu.Umma umekataa,na utazidi kukataa njia manazotumia kuminya vyama vingine hususanu CDM. Ushauri wangu kwa serikari ya CCM ni kujikita kupunguza umaskini kwa watanzania kwa nyanja zote na si kuua watu wasio na hatia kama lilitokea mkoani Iringa.
Watawala wetu wameanza kutafta njia za kujinusuru kwani wamebanwa na CDM uma hauwataki tena kwa mambo yao wanayoyafanya.Wewe kama mkuu wa mkoa tafadhari kumbuka kwamba "HUWEZI TENA KUWALAZIMISHA WATU WAENDE SEHEMU ISIYO REKEBISHIKA (CCM). Nelson Mandela alishawahi kunena hivi kama hapo juu kwa kusema "There is nothing like returning to a place that remains unchanged to find the ways in which yourself have altered" USHAURI WANGU WEWEW PAMOJA NA MKUU WA POLISI NI KUWAJIBIKA TU KWA KTENDO KILICHOTOKEA KWANI UMMA UMEKASIRIKA SANA NA MAUAJI YA MWANDISHI WA HABARI,NYINYI NDIYO WA KULAUMIWA KWA SABABU JESHI LIKO CHINI YENU.

Mwangosi ameuwawa kwenye mkutano wa CDM na CDM ndio wauaji wenyewe waulizwe vizuri walichomfanyia Mwangosi
 
Mwangosi ameuwawa kwenye mkutano wa CDM na CDM ndio wauaji wenyewe waulizwe vizuri walichomfanyia Mwangosi
Muda mwingi hukuwepo nadhani ulikuwa unapewa agenda na Nape za kuja kujibu jamvini ukitaka shuhuda Godwin Gondwe,(ITV)Kibwana Dachi (Channel Ten) wanaweza kukupa picha za matukio mwenyewe ukajionea jinsi RPC Michael Kamhunda akiua
 
Mwangosi ameuwawa kwenye mkutano wa CDM na CDM ndio wauaji wenyewe waulizwe vizuri walichomfanyia Mwangosi

kama kuna CHIZI kukuzidi wewe, basi huyo wanamsingizia. wewe lazima utakuwa chizi nambari moja sambamba na yule fisadi mtoto january makamba, wote lazima mtakuwa mnafikiria kwa kutumia masaburi.

Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakan hili li serikali la ccm MAONGO/MAJAMBAZI/MAFISADI/WAUAJI.
 
Back
Top Bottom