Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia mgomo wa madaktari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Sadick amesema Serikali katika moja ya mikakati yake ya muda mfupi wa kupambana na mgomo wa Madaktari.. italipa Gharama za wananchi watakaokwenda kupata huduma kwenye hospitali binafci..
Source Channel 10..
Mytake.. Hivi wameshafanya mchanganuo na kujua gharama halisi ya kuwatibu hao wagonjwa..? Wanazo hizo hela..? Waache kuchanganya siasa na maisha ya watu..
Hiyo inaitwa verbal diarrhoea au kujamba mawazo. Na lengo lake kuu ni kuchafua hali ya hewa.interesting.....i wonder if he thought deeply before saying what he said....
Wanajeshi wa Tanzania wana Ma Vogue ma V8 na kila aina ya anasa, au umesahau Shimbo alivyotishia watu wakubali matokeo kwenye uchaguzi wa 2010?Hivi bado kuna watu wenye akili timamu ndani ya jeshi la Tz...???
Wanaiona hali hii na wameridhika nayo kabisa?!
What a hopeless leader!shame
Kumbe urais wa Tanzania ni mwepesi sana,hata mimi naweza kua rais wa Tanzania
kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia mgomo wa madaktari
Mimi nawajibika kwa Wakulima na Wafugaji wa Ulanga Magharibi. Madaktari hawanihusu.
watalipalipaje? Kuna keshia atakaa na fungu la hela kuwasubiri wagonjwa watibiwe yeye awe analipa bill? Au watalipana badae?
Rajabu Kiravu, Lewis Makame na Usalama wa Taifa.Kwa kweli wale walioirudisha CCM madarakani itabidi waje kuliomba radhi taifa; this is beyond absurdity!
Huyu Meck asitake kututia hasira tukamuumbua na ukwe. Wake kw Mh Mwinyi akapewa zawadi ya ukuu wake wilaya ahdi mkoa...baada kuoa kwa boss wake akiwa dereva!!!!!!!hana anlojua anajikomba anasubiri maafa akusanye misaada zaidi hapo hana upeo hata........