ndevu mzazi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 687
- 237
yani hizi ndo gharama za kuwalinda mponda na nkya?
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Sadick amesema Serikali katika moja ya mikakati yake ya muda mfupi wa kupambana na mgomo wa Madaktari.. italipa Gharama za wananchi watakaokwenda kupata huduma kwenye hospitali binafci..
Source Channel 10..
Mytake.. Hivi wameshafanya mchanganuo na kujua gharama halisi ya kuwatibu hao wagonjwa..? Wanazo hizo hela..? Waache kuchanganya siasa na maisha ya watu..

mmmh ccm hakuna mwenye busara:embarassed2:
:yawn:
Ama kweli panya wengi hawachimbi shimo na miruzi mingi humpoteza mbwa, nchi imejaa matamko kila kukicha mpaka sasa hatuelew tena ni tamko gani tulifuate. Yaan kila kiongoz anaongea lake hata hatujui tena lipi ni la maana na lipi ni la kiupppuuuz..Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Sadick amesema Serikali katika moja ya mikakati yake ya muda mfupi wa kupambana na mgomo wa Madaktari.. italipa Gharama za wananchi watakaokwenda kupata huduma kwenye hospitali binafci..
Source Channel 10..
Mytake.. Hivi wameshafanya mchanganuo na kujua gharama halisi ya kuwatibu hao wagonjwa..? Wanazo hizo hela..? Waache kuchanganya siasa na maisha ya watu..
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Sadick amesema Serikali katika moja ya mikakati yake ya muda mfupi wa kupambana na mgomo wa Madaktari.. italipa Gharama za wananchi watakaokwenda kupata huduma kwenye hospitali binafci..
Source Channel 10..
Mytake.. Hivi wameshafanya mchanganuo na kujua gharama halisi ya kuwatibu hao wagonjwa..? Wanazo hizo hela..? Waache kuchanganya siasa na maisha ya watu..
Mama mjamzito akienda aga Khan kujifungua tena ikahitajika opereshen ni sh. mil mbili na ushee.
consultation na vipimo vya harakaharaka vya emergence si chini ya laki tatu.
nadhani wanaweza.
Rai kwa wamiliki wa hospital binafsi msikubali kutibu watu kwa mkopo, kila mgonjwa atakaekuja kwenye hospitali zenu aje na hela mkononi la sivyo mjue mmeliwa. Serikali haina hela ya kuwalipa imefilisika ile mbaya. Take heed to my words mkijifanya vichwa vya nazi basi mjue mmeliwa na serikali ya magamba.