Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kukaa kifua wazi hivi unatufundisha nini dada zetu wa afrikasana/las v

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
EMBU FIKIRIA UNAMKUTA BABA YAKO KIFUA WAZI HIVI MBELE YA WATOTO WENZAKO WA KIKE
UNAHISI NINI ??SORRY KWA NTKAOWACHOMA NAJARIBU KUWASAIDIA HAWA WATU WAWE NA HESHIMAKWENYE
UMATI WA WATU
14.jpg
 
Mi sidhani nitamlaumu huyu mzee moja kwa moja namlaumu haswa mkewe sababu kisheri wakristo tunamini kifua cha mumeo ni wewe pekee ndie mwenye kukiona na kukichezea sasa hivi kuviweka hadharani inaleta picha si nzuri kwamba yoyoyte ruksa kukia approach...so mama alitakiwa kumwangalia mumewe kabla ajaondoka hiko kifua mzee unamwachia nani hivyo.....
 
mkuu hivi hakuna dress code serekalini ?

ukumbuki hata huyo mzee wa aliekaa nae pembeni jf ndio tuliwakumbusha serikali wakaanza kumpiga sop sop unamwona anavyowaka saa hizi mpwa ..lazima tuwafunde hawa sio wanaamkia tu majumbani bila kuangalliwa hapa naweka lawama zote kwa mke wa kwanza ...kwa nini usimwambie mzee vipi kati ukiona mtu anaona mpaka yale manyoa ya bata ya kati ujue mtoto wakike huko sehemu shehemu shehemu hana hali tena kwa nini tuwatie ma dk wetu kwenye....matamanisho jamani kwanza alikaaje kwenye mkutano hivyo
 
Dada mmoja hapa ofisiini kaona anasema dahh babu ana manyoya mazuri kweli hayo anatambaa nayo mpaka kwenye jicho nkasema astkaffulillahi labirahaminiiiiiiiiii
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Ama kweli kila mtu na mtuwe! Mie ananitia kinyaa na aibu!
Dada mmoja hapa ofisiini kaona anasema dahh babu ana manyoya mazuri kweli hayo anatambaa nayo mpaka kwenye jicho nkasema astkaffulillahi labirahaminiiiiiiiiii
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Huo wa kifua wazi unaitwaje mpwa nimejaribu kuangalia kamusi ya michezo wa kufungua kifua sijauona
 
Huyu mzee alipiga gym enzi za ujana wake, na bado anapiga nondo pale genesis knyama ,sasa mnamlaumu nini?
 
aaaaaagghhh angekuwa iran ni viboko tu hana mke wa kumwambia au basi wasaidizi wake.Taratibu iko siku utamwona kifua wazi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom