Mkuu wa mkoa na kampeni za Arumeru mashariki

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Mkuu wa mkoa wa Arusha Magesa Mulongo amejitwisha zigo la kumkampenia mgombea wa CCM Sioyi Sumari lakini watu wanajiuliza mkuu huyo wa mkoa ndiye alikuwa wa kwanza kumkataa siyo raia sambamba na kuwaita takukuru kuwa anagawa rushwa, hivi sasa ofisi yake imefungwa watu hawati huduma je tumweleweje????????????????????????????
 
Huyu nae sikiongozi wa serikali anatakiwa awe anahudumia watu huko ofisini kwake sasa anafanya nini kwenye kampeni halafu ikumbuklwe yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa.
 
Hakiliki wala hakitemeki...ngoma imedoda hiyo...muda tu ndio unangojewa kwa sasa...atajuta kuchukua form naona hatarudia tena hata akibahatisha kupata(haitatokea)
 
Huyu (RC) ni zigo kwa raia na hata Mkoa nzima!

Na bila shaka hili analijua ila anaweka roho ngumu tu,Ila atang'atuka mchana kweupe!
Anafikiri hapa ni Mkoa wa Pwani lakini hapa ataishia kunawa na kula hali!

Mnafiki sana huyu RC!
 
Team ya Sioi iwe macho na huyo mkuu wa mkoa ana lake jambo. Atawaharibu kila kitu!
 
Back
Top Bottom