Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,886
- 6,883
Naye mke wa Mkuu huyo wa Mkoa, Janet Simbakalia alisema wakati mume wake alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kutoka kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), walijua ni kumkomoa, lakini Mungu ameonesha shani yake kwa yale yote aliyofanya alipokuwa Kigoma.
Kitu ambacho nilikuwa sifahamu ni kwamba mtu akihamishiwa mkoani Kigoma anakuwa amekomolewa!
Nadhani sasa mama Kalia atakuwa amefurahi mumewe kuhamishwa toka Kigoma.
Hoja ya mke wake hapa ni kwamba kuwa Mkurugenzi wa Taifa NDC ni cheo kikubwa zaidi kuliko kurudia chini kuwa mkuu wa Mkoa ambapo mamlaka yanaishia mkoani tu wakati alikuwa na majukumu ya kitaifa.