PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,723
- Thread starter
- #21
Live Confession!Nampa ongera.huyu jamaa upande dini hasa rc amejitoa sana kushiriki arambee za ujenzi wa shule za sekondari zinazoendeshwa na rc.mwaka juz nikiwa kasulu alifanikisha ujenzi wa sekondary ya st. Francis.ameudhuria arambee pale,aliwai kutwambia atajitoa ili shule hiyo iwe mfano.nilikuwa kwenye kamat ya ujenz na alifanyakaz kubwa sana, michango yake ya mawazo ilisaidia.waha tu wagumu kutoa michango.mh ruzoka ni askofu mkuu,maana yake anasimamia dayosisi ya kigoma na tabora.nafikiri ata mageuz kupata mabunge wanne wa upinzani ni yeye.huyu hataki unafiki.kati ya wakuu wa mikoa walio wahi kukaa kgma waha wamemkubali sana.
Aksante broda kwa kujuza wanajamvi!
Kuna watu wanapoliticize kila hoja humu.