Mkuu wa mkoa kuwa msimamizi wa uchaguzi wa CCM.

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
279
Nimepokea kwa masikitiko na mshangao mkubwa kitendo cha mkuu wa mkoa wa manyara Ndg Erasto Mbwilo kuwa msimamizi wa uchaguzi ndani ya CCM. Swali langu ni je mkuu wa mkoa ana majukumu gani kichama? Mkuu wa mkoa anamwakilisha raisi au mwenyekiti wa CCM?
Source ITV NEWS
 
Matokeo; Dkt Mary Nagu kapata kura 628 Fredrick Sumaye kapata kura 481 !!! Ajiunge kwenye ile Bendi ya Kaskazini inayoongozwa na Dj makengeza na Director General wa kiwanda cha kuzalisha Uongo maana keshaanza kuamini Kauli ya vijana wa CCM pwani kuwa jina la Rais 2015 lipo mezani kwa Bwana mkubwa!
 
Back
Top Bottom