Mkuu wa Mkoa Arusha tutake radhi wakazi wa Arusha

Kweli kabisa na kama anatupenda wananchi angefanya yafuatayo.
1. Mkuu wa Mkoa angetoa gari yake isaidie abiria.
2. Polisi wangetoa karandika, mabus na defender zao zisaidie kubeba abiria
3. CCM ingetoa zile pick up zao za mahindra kubeba watu, na yale mafuso yao wanayoletaga nayo watu mikutanoni.

Tayari madereva daladala mshawaita wahuni wanaotumwa na muhuni, sasa katika hali ya kawaida unategemeaje muhuni kubadili msimamo wa kihuni kuwa wa kiungwana?? Maneno yenu Polisi yanawagharimu sasa, vitisho vyenu vishazoeleka sasa, badilisheni strategy sasa na muanze kuact kama waungwana.

Hamuwezi kufanya hayo na ndio maana mnakuwa wababe kimaneno na vitendo.

Time will tell
 
Unajua solidarity kwa manufaa ya umma huwa inatafutwa kwa namna yoyote, katika migomo ya Vyuo vikuu wanaojitenga na mgomo hulazimishwa kwa viboko na mwisho wa siku hushiriki mgomo na serikali husikia kilio kimoja na sio cha kusuasua na kwa manufaa ya umma.
Kuhusu swala la Arusha kuongoza kwa ujinga inadhihirisha political immaturity inakusumbua ila kuhusu migomo/haki/solidarity/nguvu ya umma na mapinduzi kwa ujumla nakushauri uwe na tabia ya kujisomea hasa vitabu vya historia na intelijesia ndo utajua kuwa yanayojiri leo Arusha yameshatokea tangu karne ya 14.

Unajisumbua bure kumuelewesha Topical. Huyo ni wale wenye akili nzito na wamelemewa na uzito wa magamba! Hatakuelewa huyo! Achana nae.
 
Jana jioni mkuu wa mkoa wa Arusha alifanya kipindi maalumu kaitka Radio Triple A arusha na kusisitiza kuwa wananchi tuwe na amani na kuwa leo hakutakua na mgomo wa daladala. Mkuu huyu wa mkoa wa Arusha hakutupa angalizo lolote kuhusiana na mgomo huu na akatuahidi kuwepo kwa usafiri na amani kwa ujumla chini ya usimamizi wa OCD Zuberi.
Leo hali imekua tofauti na ahadi za Mkuu wa Mkoa huu wa Arusha alizozitoa jana, Wakazi wa Arusha leo hii tumetaabika kwa kukosa usafiri, wafanyakazi tumechelewa kazini, wanafunzi wamegahiri kwenda shule kwani muda mrefu wameutumia kutembea kwa miguu. Daladala nyingi zimepigwa mawe maeneo ya kwa moromboo, esso,mianzini, sanawari na sehemu kadha wa kadha.
Amani aliyeihubiri Mkuu wa Mkoa wa Arusha haijafanikiwa kama alivyotuahidi.Uharibifu wa mali hasa daladala na kuchelewa kwa shuhuli za kila siku za Arusha inadhihirisha hii nguvu ya umma inakaribia kuwashinda na kuishia kuwakamata wapiga debe na madereva.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha naomba unitake radhi kwa kunipa ahadi ya uongo jana na kunifanya nipate adhima katika siku yangu.

Tatizo la watumishi wengi serikalini sasa hivi hawatumii tena akili na wala hawajui wafanye nini ili mambo yaende vema. Kila mtu anaogopa kuamua kwa usahihi akihofia rais atakasirika na kumtoa kwenye ulaji wake. Ni kama nchi iko kwenye auto pilot, lol!
 
Unajua solidarity kwa manufaa ya umma huwa inatafutwa kwa namna yoyote, katika migomo ya Vyuo vikuu wanaojitenga na mgomo hulazimishwa kwa viboko na mwisho wa siku hushiriki mgomo na serikali husikia kilio kimoja na sio cha kusuasua na kwa manufaa ya umma.
Kuhusu swala la Arusha kuongoza kwa ujinga inadhihirisha political immaturity inakusumbua ila kuhusu migomo/haki/solidarity/nguvu ya umma na mapinduzi kwa ujumla nakushauri uwe na tabia ya kujisomea hasa vitabu vya historia na intelijesia ndo utajua kuwa yanayojiri leo Arusha yameshatokea tangu karne ya 14.

TATIZO sio kugoma, tatizo ni kwamba mgomo wenyewe haukuwa na grounds. Mgomo ule ni wa kutetea nini?! Lazima tukubali kwamba hata hao waliogoma wengi wao wala hawakufahamu kwa kina wanagomea nini!!!!! Na si ajabu hata wale waliogoma imawezekana wamiliki wa magari hayo ni some magwanda's irrational decision makers.
 
mimi sikuwahi kuona watanzania wajinga kama chadema, hawa watu wa kuogopewa zaidi ya ebola. wakumbuke tunatoka mbali tulipitia wakati ukimkosoa raisi umepotezwa au umekimbia nchi, tumefika wakati unamtukana raisi na unasifiwa katika tv, radio magazeti etc na bado uko na amani kabisa. mabadiliko yote haya hayakuletwa na warusha mawe barabarani, mwanzo wa hesabu ni 0, sisi tuko 5 kuelekea 100, msitake kuturejesha tena 0
Democracy is an objective. Democratization is a process. Democratization serves the cause of peace because it offers the possibility of justice and of progressive change without force
Peace comes from being able to contribute the best that we have, and all that we are, toward creating a world that supports everyone. But it is also securing the space for others to contribute the best that they have and all that they are .
 
itapendeza kabla ya kuzungumzia amani tuzungumzie haki. Haki ni mama wa Amani, haki kwanza then amani itakuwepo.
 
Vyeo vya mgao kama pilau ya kwenye hitima vinatuletea shida sana hapa nchini,kuna majina nikiyasikia moyo wangu unachefuka kabisa.
 
quote_icon.png
By Topical
Arusha wanaongoza kwa ujinga..
Sasa mtu mzima unawezaje kupiga daladala ya raia mwenzake kutoa huduma..
Huo haukuwa mgomo ila shinikizo la kihuni toka kwa watu wajinga..period"

Pumbavu sana wewe unaejiita Topical, huwezi kutuita watu wa Arusha tunaongoza kwa ujinga ....
Wanaoongoza kwa uhuni ni Baba yako na Mama yako na ndugu zako wote, m@#%&....... **** mkubwa kabisa, na mnashikishwa ukuta mara tatu kwa siku .......
Kwa nini unageneralize mambo ...... tena unabahati mods...... Kumbafuu sana na ukoo wako wote!
 
TATIZO sio kugoma, tatizo ni kwamba mgomo wenyewe haukuwa na grounds. Mgomo ule ni wa kutetea nini?! Lazima tukubali kwamba hata hao waliogoma wengi wao wala hawakufahamu kwa kina wanagomea nini!!!!! Na si ajabu hata wale waliogoma imawezekana wamiliki wa magari hayo ni some magwanda's irrational decision makers.
y

Unaweza kujenga hoja yako lakini sio kuwatukana wana Arusha na hasa waliogoma kuwa hawafahamu kwa kina kwa nini wamegoma. Hivi unahitaji kuwa msomi wa kiwango kipi kujua kuwa kamanda, mbunge, mtetezi, mtanzania asiye na hatia anazushiwa na polisi wa Arusha kesi za ajabu. Anatishiwa maisha yake na familia yake.Huyu utake usitake ni chaguo halali la wanaArusha. Sasa ameamua kwa ihari kwenda gerezani baada ya polisi kumtishia sasa ameamua ili aonyeshe kuwa walioko kule nao ni raia wema. kuwa gerezzani hakumfanyi mtu kuwa nusu mtu.

Nyie mnaowabeza wanaArusha mjini kwa msimamo wao wa kugoma na kuwapa kila majina mabaya itakuwa hamjahi kusoma revolutionary literature tena sio utopian but practical. Rudi darasani mkasome na zote huwa ni critical, sacrificial na wakati ekea mwengine ni bloody. WanaArusha wanaamsha serikali wajue kuwa uonevu una mwisho na wati sio pundamilia kuna siku wanasema sasa basi. Yanayotokea Arusha yanaonyesha kuwa mwanzo wa mapambano kifikra ndi sasa
 
quote_icon.png
by topical
arusha wanaongoza kwa ujinga..
Sasa mtu mzima unawezaje kupiga daladala ya raia mwenzake kutoa huduma..
Huo haukuwa mgomo ila shinikizo la kihuni toka kwa watu wajinga..period"

pumbavu sana wewe unaejiita topical, huwezi kutuita watu wa arusha tunaongoza kwa ujinga ....
wanaoongoza kwa uhuni ni baba yako na mama yako na ndugu zako wote, m@#%&....... **** mkubwa kabisa, na mnashikishwa ukuta mara tatu kwa siku .......
Kwa nini unageneralize mambo ...... Tena unabahati mods...... kumbafuu sana na ukoo wako wote!

mod unayaona haya.......... Jf haiwezi kuvumilia ujinga wa aina hii (penye nyekundu) hapo..... Tafadhali nomba achukuliwe hatua stahili......
 
mod unayaona haya.......... Jf haiwezi kuvumilia ujinga wa aina hii (penye nyekundu) hapo..... Tafadhali nomba achukuliwe hatua stahili......

Mkuu mwache ajifurahishe..

"Incompetent person silaha yake kubwa ni kutukana na violent language period..
 
Huwezi kuwaita watu wajinga halafu ukabaki salama
Ni huwezi kujifanya wewe ni competent person kwa kejeli na dharau
Hakuna kujifurahisha hilo ndio jibu la kuwaita watu wa Arusha wajinga, pumbavu!

Na wewe ELIAKEEM, hii ndio umeona ni ujinga,
Kuwaita watu wa Arusha ni wajinga ni NZURI kwako, acha kujidharaulisha,
Kama vipi na wewe ni pumbavu tu kama huyo TOPICAL.
 
http://1.bp.blogspot.com/-NEuFM3lr_D8/TnNzYanOouI/AAAAAAAAHGg/5ozuY5eyuBk/s400/_MG_0731.JPG[/IMG]
mazungumzo Jay............ tai yako hii ni nzuri designer wake ni nani next time nikienda kununuliwa suti tena nami niwaambie wanitafutie kama hii ...ntapendaza acha.....hahahaha.
 
Back
Top Bottom