Mkuu wa Mkoa Arusha akwaa kisiki kwa madiwani wa CHADEMA leo

Tunafahamu sababu za huyu chizi kuhamishiwa hapa Arusha ili aweze kutekeleza mchezo wa mafisa wake waliomweka madarakani, atamfunga nani, tokea lini ameanza kazi ya kufunga watu, hapa A-town atapata habari yake tu!!!!!!!!

Aijui AR hee! Machali wa unga Limited watamnyea mdomoni
 
Si kajisahau yeye mwenyewe RC yeye mwenyewe mahakama, yaani haeleweki. Nadhani ameshindwa kuelewa mwisho wa majukumu yake.

Magamba si wanajifanya wao ni kila kitu na wapo juu ya sheria
 
hana lolote huyo! anatishia watu wazima nyau! ngoja nguvu ya umma imshukie....tunasubiri tamko la mbowe kuhusu maneno aliyotamka.....

Na hayo maneno yatakuwa ni hukumu yake kichwa nazi yeye
 
kama kweli amesema atafunga mtu basi hiyo inadhirisha alivyo MPUMBAVU na anashindana ktk fani ya UPUMBAVU na aliyempa hayo madaraka - Mungu amlaani yeye na matunguli yake!!!
 
Rais yupo kwenye majaribio na haka ka RC kake hata amini kuwa kazi hii ya kulindana imeshtukiwa na watz, rc unatumika kama remote control halafu unasema utafunga mtu, aibu yako!!!!!!
 
Rais yupo kwenye majaribio na haka ka RC kake hata amini kuwa kazi hii ya kulindana imeshtukiwa na watz, rc unatumika kama remote control halafu unasema utafunga mtu, aibu yako!!!!!!
Yaani OCD Zuberi + RC Magesa = Vurugu Arusha
 
I hate what the RC did! He is so myopic. Kuna haja ya kuwatoa hawa maRC na DC kwenye katiba
 
Hivi huyu ndiye aliyeenda mahakamani Arusha na kuamuru Lema asitolewe?
 
Yaani OCD Zuberi + RC Magesa = Vurugu Arusha

Yana mwisho hayo mkuu MR. Waliojitambua ni wengi katika nyakati hizi tulizonazo na huu si wakati wa kupigia kura HAPANA na NDIYO. Jamii itafika mahali na kutambua nani awe kiongozi wao.
 
....huyu mpumbavu si alikuwa Dc bagamoyo na rafiki mkubwa wa VDG wakipelekana kwa sangoma kila weekend. Kapelekwa kule makusudi, lakini ataula wa chuya...AR sio vilaya km wale wazee wa mabusha..!! Hana hata shule yoyote ya maana, mtu wa tunguli tuuu..
Huyu bwana ni rafiki sana wa kikwete, na ndio maana akampeleka kwao bagamoyo kama DC kisha kwa kuwa muda wake unakaribia kuisha akaona ampe shavu RC arusha. hafai, na ni boya linalofuata mkondo wa maji ndo maana atapelekeshwa sana na mawimbi ya CDM. Peope's ........
 
Ameamua kuwa mwanasiasa badala ya uRC, lakini hii haitoi taswira nzuri kwa wananchi.
 
....huyu mpumbavu si alikuwa Dc bagamoyo na rafiki mkubwa wa VDG wakipelekana kwa sangoma kila weekend. Kapelekwa kule makusudi, lakini ataula wa chuya...AR sio vilaya km wale wazee wa mabusha..!! Hana hata shule yoyote ya maana, mtu wa tunguli tuuu..

kaka umejuaje minazani cheo alichopewa magesa ni kutokana na uchawi wa kwao na hatakuwa anamsaidia mkuu wa kaya mambo flani.Magesa kwao ni mwibara sehemu moja inaitwa mwigundu wazee wake wachawi balaa kijiji kizima kinawafaa nazani ndo maana magesa anakiburi pamoja na mkuu wake wa kaya.
 
wewe mkuu wa mkoa wa Arusha hapa arusha siyo uswahilini kama bagamoyo, wewe tumia zaidi akili za ubongo kuliko masaburi...mkataba wenu ni katika uongozi wa kikwete tu...sasa kitakacho fuata ni kuharibu mahoteli yenu ya kifisadi hapo maana naona hamtaki muafaka...alafu wewe unafikiri utatuweza kwa mabomu cc? kwanza hao vijana wako tunakaa nao huku mtaani tukiamua tutawamaliza maana hawatusaidii wanawalinda nyinyi kwa hiyo cc hatuna kazi nao
 
Amefrastireti baada ya debe alilompigia mkuu wa kaya kuja Arusha kugonga mwamba. Huyu sii ndio jamaa aliyeratibu ule mkutano wa bagamoyo wenye mkakati wa kuzuia mtu wa kaskazini kuiongoza nchi? Hivi Lowasa na Milya nao wanaitambua hii speed gavana waliyofungwa na Jk?
.
 
Kadiri Kenge anavyozidi kukomaa ndivyo Ngozi yake inavyozidi kuwa Ngumu...I.E KADIRI SISIEM INAVYOTUMIA VIBARAKA WAKE KUNYANYASA WANANCHI WA ARUSHA NA WANACHADEMA NDIVYO HASIRA ZAO ZINAVYOZI''''
1. Waswahili wanasema Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
2. Hasira Hasara!
3. Hakuna Marefu yasiyo na Mwisho(Ncha).
4. Ngoma Ikivuma sana Mwisho hupasuka

IPO SIKU NASEMA IPO SIKU HAWA WAPUMBAVU WATATAFUTA PAKUJIFICHA WASIPAONE!!!! HAKIKA INAKUJA ....WASOME ALAMA ZA NYAKATI.....BWANA AKIWA UPANDE WETU NI NANI ATAKUWA JUU YETU????

Back
Top Bottom