Mkuu wa mkoa Arusha aagiza wachaga waondolewe

Status
Not open for further replies.
Akiwa kwenye kikao na ma technical assistants mkuu wa mkoa wa Arusha amemuagiza RAS awatawanye wachaga toka ofisi ya mkuu wa mkoa arusha. Anadai mkuu wa mkoa aliyeondoka ndugu Isdore Shirima alijizungushia wachaga!

Ukweli ni kwamba wengi wa hao anaodai Shirima alijizungushia Shirima aliwakuta na si sahihi kufanya maamuzi kwa kuangalia kabila la mtu.

Mkuu wa mkoa una mengi ya kujifunza na asipokuwa makini Arusha itamshinda

Lazima huyu mtu atakuwa amechanganyikiwa na madaraka, vinginevyo hizo sio kauli za mwanasiasa kutoa kwenye vikao.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
huyu si ndio aliyekuwa dc wa bagamoyo? alipandikiza uhasama kati ya ofisi ya dc na DED hadi leo mambo si shwari pale
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ukitoa wahindi, wachaga ndilo kabila linalopigwa vita zaid hapa tz. Damn them, wako kila mahali

Na wanaakili kuliko Watanzania wote! Wako strong and they knw what they want hata mazingira yakiwa magumu wanaamini iko cku kitaeleweka tu! Walipotia miguu lazma nuru ya maendeleo ionekane! Wachaga kabila takatifu na teule kama Israel. UKIBISHA HUTABADILISHA UKWELI NDO HUO.
 
Na nyie mmezidi ukabila. Ukienda TRA hasa ya Arusha utakoma. Utasikia majina ya kichaga uchoke. Kessy, Shoo, Massawe, Minja nk. Hakuna mwita wala nyagawa pale. Kama wapo ni asilimia moja. crdb the same. Too much ukabila kwa ndugu zangu wa kichaga. Ukiweka mmoja kule juu basi umemaliza. Kama crdb na itv pia.

Kasomeni! Nyie mnalaliana wakati wachaga wanabuni miradi na kusomesha watoto wao. Uchagani unaulizwa umesoma mpaka wapi au unamiliki nini wakati nyie wengne unaulizwa una wake wangapi na watoto wangapi! Teh teh! Kwa nini msiishie kuwa wafagiaji tu? CHAGA REIGNS!
 
Na nyie mmezidi ukabila. Ukienda TRA hasa ya Arusha utakoma. Utasikia majina ya kichaga uchoke. Kessy, Shoo, Massawe, Minja nk. Hakuna mwita wala nyagawa pale. Kama wapo ni asilimia moja. crdb the same. Too much ukabila kwa ndugu zangu wa kichaga. Ukiweka mmoja kule juu basi umemaliza. Kama crdb na itv pia.

Mwita au Nyagawa mahala pao ni JWTZ au Polisi
 
sio sahihi kubaguana kwa makabila lakini kwa ukweli wachaga wana roho mbaya sana sana.

mchaga mzuri akiwa nje ya moshi.akiwa kwao ni nyoka sana hawa,naongea kwa uzoefu.

Wacha kuandika upupu na uongo wewe mimi ninaishi moshi mwaka wa kumi na tano sasa na marafiki zangu

wote ni wachaga,na kwa taharifa yako viongozi wa kiserikali hapa moshi wala sio wachaga na ukichunguza

wengi wao hawataki kuondoka moshi wamenunua viwanja na kujenga sasa kama wangekuwa na roho mbaya kiasi

hicho kwanini sisi wakuja tupende kununua viwanja huku,,,ww soma tuu siyo lazima uonyeshe upumbavu na ubaguzi wako.
 
Na nyie mmezidi ukabila. Ukienda TRA hasa ya Arusha utakoma. Utasikia majina ya kichaga uchoke. Kessy, Shoo, Massawe, Minja nk. Hakuna mwita wala nyagawa pale. Kama wapo ni asilimia moja. crdb the same. Too much ukabila kwa ndugu zangu wa kichaga. Ukiweka mmoja kule juu basi umemaliza. Kama crdb na itv pia.

Yani wewe unataka tuu kusikia jina la MWITA hata kama hana vigezo.!.kwanza jina la MWITA litoke wapi TRA au CRDB

kwani umeambia hayo ni mageshi mura...!!!!
 
hivi arusha ni wachaga kila mahali?mbuge lema meya pia mchaga.du wachaga kila mahali atimue wote

Ninaweza kuhisi hali yako ya maisha uliyonayo,wewe ni fukara wa kutupwa....

kwani mbunge wa Arusha akiwa mchaga tatizo ni nini.?.je mheshimiwa Lema anafanya kazi yake vizuri

au hafanyi.!, kaka kaa kimya ufiche upumbavu wako.
 
Na nyie mmezidi ukabila. Ukienda TRA hasa ya Arusha utakoma. Utasikia majina ya kichaga uchoke. Kessy, Shoo, Massawe, Minja nk. Hakuna mwita wala nyagawa pale. Kama wapo ni asilimia moja. crdb the same. Too much ukabila kwa ndugu zangu wa kichaga. Ukiweka mmoja kule juu basi umemaliza. Kama crdb na itv pia.

wewe ujapiga mswaki nini? ebu jaribu kuangalia CV zao uone kama wamebebwa au lah?
Huyu mkuu wa mkoa ana yake yaliyojificha! ki ukweli wachaga wanajitaidi kusomesha watoto wao, nenda vyuoni ktk darasa moja angalia idadi ya wachaga utaona wako wangapi?
 
Yesu Kristo! tumefikia hapo! kristo mfalme huyu rais sasa na huu uteuzi wake atatuletea balaa. Na sisi hapa Mwanga Ofisi ya Mkuu wa Wilaya imejaa wazigua Das Mzigua,Msajili wa RITA Mzigua,Mkuu wa wilaya SHEIKH ATHUMANI MDOE NAYE MZIGUA si balaa hili
wachaga kawaida yao. yao fuatilia sehemu zote hivyo hivyo ntakupa mfano wa brand managers
 
Inawezekana ni majungu ya wachaga wasiotaka kuhamishwa arusha? kwasababu wameshawekeza..

Nakumbuka kuna wakati nilifanya kazi Muccos aisee wachagga (wenyeji) mnaongoza kwa ubaguzi ..lol

Watumishi kubalini uhamisho wakubwa acheni ubishi na majungu
Hivi wewe unaandika kashfa alafu unaweka 'lol' unalambwa au inakuwaje
 
huyu ataanza kuondoa hata wafanya biashara wa kichaga
,avunje ndoa za kichaga ,aondoe mbunge ambae ni mchaga Lema,
aondoe wakuu wa shule ambao ni wachaga awaondoe wakuu wa vituo vya polisi
ambao ni wachaga na mambo mengine meng...........
 
na kweli bora tu awafukuze, maana hawa jamaa kwa wizi hawajambo. (wachaga mtanivumilia kwakweli maana marafiki zangu wengi ukitoa kabila langu ni wachaga)
 
Ujue hapo kuna kikundi cha kipumbavu ambacho kinamshauri mambo ya hovyo hayo mkubwa huyu. Namfamu huyu bwamdogo, siamini kama hii ni kauli aliyoiconceive yeye parse!

Sera ya siasa za serikali kuu ni kwamba "AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YA KWAKO" kwa hi ina maana hana akili ya kuchanganyia na alicho ambiwa au kushindwa kwa CCM 2015 kumeanza kumletea jindamizi na kuanza kupoteza network na hatimaye kuongea kama kichaa?.
 
Na msisahau kwamba Arusha imekamatwa na wajasiriamali wetu asili Tanzania - WACHAGA, wengi wa hawa ni genuine entreprenuers, sio hawa wengine wa kuchakachua - wajasiriamali watokanao na wizi wa fedha za walipa kodi huko TRA, mawizarani etc; na ni wachaga ndio wanaendesha siasa za arusha; hauwezi kuwa mbunge wa Arusha mjini bila kuwa endorsed na hawa wajasiriamali wetu asili Tanzania kwani wao ndio wana thibiti jiji lile; Mkuu wa Mkoa atakuwa kagundua hilo, kwahiyo anaanza kuwashughulikia kwanza wale waliopo kwenye vitengo vya maamuzi (idara za serikali); Lakini ni wajasiriamali hao hao Serikali itakuja wafuata baadae kuwaomba au hata kwa vitisho ili watoe fedha kufanikisha shughuli kadhaa wa kadhaa za CCM;
 
Naamini hao wachaga waliajiriwa on merit na sio kwa sabubu ya kabila lao kwa maana hawakuchukuliwa njiani wala sokoni kuja kufanya kazi hapo,Mtu apimwe kwa uwezo wake wa kufanya kazi na sio kabila lake wala rangi yake,Huyu mkuu wa Mkoa anaonekana ni mkabila sana na fisadi papa sasa anataka awalete wa kabila lake wafanya kazi hapo ? Mbona anakuwa mvivu wa kufikiri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom