Mkuu wa kaya hana mawaziri wapya wasafi lazima akope

wagaba

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,106
603
wana JF niambieani ni mbunge gani ambaye amepita ktk jimbo lake akiwa msafi na amepita kihalali bila ya mlungula kiasi kwamba hata akipewa uwaziri hatadhubutu kurudisha principle money plus interest aliyoingia nayo mjengoni kwa kipindi hiki? labda watatofauitiana ktk uchotaji tuu. kuna wengine watataka quick returns na wengine waoga au strategists wataenda mdogo mdogo (kula na kipofu).

kwa hiyo, njia mbadala ni kutumia nafasi zake mbadala za kujaza nafasi za wabunge wa kuteuliwa na kuwapa uwaziri kwa kuwa hazina harufu kali za rushwa. tegemea mawaziri wengi wanawake!
mbadala mwingine ni kuchungulia CCM B (prof. L/Pumba ametajwa tajwa).

haya ni mawazo yangu tu. changia bila kutupa madongo
nawasilisha
 
January Makamba hakutumia mlungula na ni msafi kiasi maana hakuna msafi 100%.
 
January Makamba hakutumia mlungula na ni msafi kiasi maana hakuna msafi 100%.

Acha hiyo, kuna hili si alihongwa na Bw Yusuf Manji, BMW X5 baada ya kuoa? kama ana maadali na msaidizi wa raisi hiki zawadi alitakiwa kuikataa.

Huyu ni mchafu saana, tena ni hatari kwa taifa.
 
January Makamba hakutumia mlungula na ni msafi kiasi maana hakuna msafi 100%.

uliza vizuri mkuu kampeni yake ilivyopata full support from Gold Diggers hapo kanda ya ziwa. mdogo wake wa kike ndo alikuwa front liner kuvuta mapesa. aliamua hadi ku socialise na kigogo mmojawapo wa migodi (jina limehifadhiwa) ili bro apite. wacha hii maneno mazee!
 
Lembeli,ndasa hawaku2mia mlungula

Lembeli unoko umemzidi mbele ya macho ya CCM. wanaweza wakamuona hawafai ktk ngazi za juu. kumbuka baraza jipya nalo ni changa la macho! bado wanahitaji waliberali kwa sababu si kwamba wako siriazi ktk kubadili baraza. wanataka UPEPO WA KISIASA UPITE till 2015. mkuu wa magogoni anapenda sana ile knob iliyokuwa marked "AUTO PILOT"
 
Lembeli,ndasa hawaku2mia mlungula

sijasahau bado zile 400 mil alizotoa Mengi za Vikoba kwenye jimbo la Lembeli, mnafikiri cheque za Rushwa zinaandikwa 'malipo kwa ajili ya hongo ya uchaguz wa ubunge',Tusidanganyane hakuna mbunge asietoa Rushwa wanatofautiana style za kutoa!
 
Songoro,

..hebu tueleze kama Mnyika na Sugu na wao walihonga.
 
Songoro,

..hebu tueleze kama Mnyika na Sugu na wao walihonga.

fuatilia kesi ya ubungo utajua kilichomshawishi msimamiz wa uchaguz kutangaza matokeo bila ya kujumlisha baadhi ya kura na Laptop ya mnyika kutumika na amekiri hilo mahakamni that is why nmesema hongo ime ply part kwa njia tofauti usifikiri wote wanagawa pilau,pombe au bahasha, ukiwa unaipenda nchi yako kuliko chama chako utakiri hili jambo!
 
Back
Top Bottom