Mkuu wa Kaya ameoa mke mwingine?

Kama ni mke halali na dini inaruhusu, why awe ni anonymous publically?...actually uvumi huu upo hadi huku mikoani!
 
icho kipengele kwenye dini yao ni mteremko kwa kila mwenye fedha! uvumi upo na hatuwezi shangaa si mtu wa pwani uyu na ana pesa!
 
jk aka kijeba.............SIJUI DINI YAKE KM INARUHUSU MAMBO HAYA ILA NI KWELI KABISA
Katika pita pita zangu kwenye mablog nimekumbana na picha inasema mke mdogo wa kikwete!!! Je kuna ukweli wowote????
 
Imani yake inamruhusu - kuna ubaya gani jamani?
Wangapi humu mnao hadi wanne na kuzidi na hamjisemi na wengine hata dini zenu haziwaruhusu.Lets stop being petty!
 
MIMI NAMUUNGA MKONO MIA KWA MIA, HAWA WANAWAKE WOTE WALIOJAA MITAANI SI BORA WAOLEWE NA MWANAMUME MWENYE MKE KULIKO KUWA PUBLIC PROPERTY, MIMI UWEZO TU SINA LAKINI NA MIMI NINGECHUKUA KICHINCHRI KINGINE NIKAWEKA NDANI

:hail:
 
mimi naona hakuna haja ya kulalamika!kwani tulimchagua tukifahamu kabisa!hivyo kama kaoa as far as ana uwezo wa kuwatunza ni sawa kabisa!
inamuondolea ufanisi, angekua na productivity kama rais , tungesema pouwa, ila nchi yenyewe vumbi tu alafu mwenykt anazidisha libenekie, sio kivivyo ..
 
MIMI NAMUUNGA MKONO MIA KWA MIA, HAWA WANAWAKE WOTE WALIOJAA MITAANI SI BORA WAOLEWE NA MWANAMUME MWENYE MKE KULIKO KUWA PUBLIC PROPERTY, MIMI UWEZO TU SINA LAKINI NA MIMI NINGECHUKUA KICHINCHRI KINGINE NIKAWEKA NDANI

:hail:

HAYA TENA MAKUBWA KWA HIYO NA WEWE UNATAMANI MKE MWINGINE ..SIKUTEGEMEA HII KUTOKA KWAKO:lock1:
 
Imani yake inamruhusu - kuna ubaya gani jamani?
Wangapi humu mnao hadi wanne na kuzidi na hamjisemi na wengine hata dini zenu haziwaruhusu.Lets stop being petty!
Hakuna ubaya,lakini ikiwekwa wazi ni vema zaidi kuliko kufichficha ili tumjue mama yetu mdogo.Na ikiwezekana tumpe heshima yake.
 
Imani yake inamruhusu - kuna ubaya gani jamani?
Wangapi humu mnao hadi wanne na kuzidi na hamjisemi na wengine hata dini zenu haziwaruhusu.Lets stop being petty!
Tatizo siyo idadi ya wake,tatizo lipo kwenye kuwatimizia mahitaji yao, Mkuu wakaya ameanza kuchoka kimwili na ki a*** ..

Hivyo kuongeza mke mwingine atakuwa ana jitafutia matatizo maana mkewe atataka kupata ladha ya tundi la ukweli siyo la kuonja onja mwishoe ana kuja kuangukia kwenye mikono ya kina Fidel80 na Masanilo, na Mkuu wa nchi akigundua kuwa vijana wana kula tundi lake anaweza kuwa-babu seya bure.
 
mama salma hazijapigwa ngumi kweli, amekubali tu mwenzie ashee hivihivi..wanawake wana roho nzuri wajameni....
 
Mtu mwenye kupenda wana wake wengi hata awe paroko utamjua tu, kwani atatafuna hata waumini wake. Ni ngumu kuficha tabia aliyozoea tokea mwanzo.
 
embu fikiria akiwa nao wanne nani ataumia kuwahudumia hao wanne si ni sisi wananchi kwani kila mmoja lazima atakuwa na bodyguard,mashangingi,nyumba..na ishu inakuja pale watakapo kuwa wanataka kuruka majuu huko nani atatumia ndege ya mungwana itakuwa vituko vitupu na vikumbo tu./

Kama ingekuwa ni kweli basi angepaswa kumchagua mmoja tu kati yao ndio amtambulishe kama "first lady", kwahiyo ni first lady tu ndio anapata fursa zote hizo. wengine aingie mfukoni mwenyewe kutoka katika vyanzo vyake.

Hata hivyo hili si la kweli, ni utani tu!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom