Naombeni wasifu wa January Makamba

Eti naskia Galanos alifutiwa matokea kwa kuiba mitihani na kuangalizia...

Ya kweli hayo?? Kwa vile inaonyesha unamjua vizuri hebu tujuze basi. Ni vizuri kumuweka kwenye scrutiny sana ili huko mbele awe free na hizi kashfa.

Mkuu usitueleze habari za kusikia. Game Theory amekwambia jamaa alisoma George Mason, ni Diplomat na alikuwa Msaidizi wa rais. Amefanya kazi Jimmy Carter Foundation ambapo hawafanyi kazi na vilaza, labda kama hujui Jimmy Carter alikuwa nani!
 
Mkuu acha kuweweseka.

Huyu jamaa hajawahi kuishi hiyo mitaa unayosema. Amesoma Galanos alikoiba mtihani na kufutiwa matokeo na amefanya kazi makambi ya Wakimbizi wa Ngara na Kigoma, Carter Foundation. Kasoma George Mason University, ni diplomat wa daraja la II (Tafuta kabrasha wizara ya mambo ya nje kama uko interested). Amewahi kuwa speech writer wa JK kwa miaka mitano. (Uwezo wake umesimama kama utalinganisha speech za JK za miaka mitano iliyopita na hizi za sasa). Plus, vitabu unasema vya mashairi na Shigongo? Kijana ni mwamndishi mzuri, tazama hii video utajua vitabu ni vya aina gani Hon. January Y. Makamba on TANESCO's 40.29% electricity charges hike.avi - YouTube
Mwisho kabisa January ni mfano wa kuigwa, jipange ukitaka kuchafua vijana wa sampuli hii.

GTI

January unanimalizaga kweli. Unaleta hoja unakuja kuzijibu mwenyewe. Kweli mzee makamba alizaa watoto. Wanajua media attention. Sasa hebu tuelezee kuhusu hili hekalu la mdogo wako?
mh. atakayekumaliza ni mdogo wako na Mwandishi wako wa habari Mange kimambi. Mnaona anawapaisha ngoja igeukie upande wako. Una habari amelipwa hela kukusnya data zako na wazito CCM. Msimwamini Mange ni ndumi la kuwili kati yenu shauri, mtajijuuu... walinijaribu lakini hawajapata kitu toka kwangu ila mange anatumika na wazito kukusanya habari zenu kashasema ulivyomsaidia kesi yake na magai, unahitaji zaidi?????
watu wamekuwa wajanja kinoma, wanatuma kitu toka bongo kutumia proxy, matokeo yake mnawakamata wachawi ambao siyo. mambo ya wakuu wa umeme mzee
 
JAMAA HAJAWAHI KAA ARUSHA KABISA, halafu unashangaa vitabu unataka na sie tushangae kama huna utamaduni wa kusoma peke yako.
 
January unanimalizaga kweli. Unaleta hoja unakuja kuzijibu mwenyewe. Kweli mzee makamba alizaa watoto. Wanajua media attention. Sasa hebu tuelezee kuhusu hili hekalu la mdogo wako?
mh. atakayekumaliza ni mdogo wako na Mwandishi wako wa habari Mange kimambi. Mnaona anawapaisha ngoja igeukie upande wako. Una habari amelipwa hela kukusnya data zako na wazito CCM. Msimwamini Mange ni ndumi la kuwili kati yenu shauri, mtajijuuu... walinijaribu lakini hawajapata kitu toka kwangu ila mange anatumika na wazito kukusanya habari zenu kashasema ulivyomsaidia kesi yake na magai, unahitaji zaidi?????
watu wamekuwa wajanja kinoma, wanatuma kitu toka bongo kutumia proxy, matokeo yake mnamkamata mchawi ambaye siye

Mkuu kwanza shusha pumzi! Hivi unataka mbunge, mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini, katibu wa siasa ya mambo ya ya nje wa ccm, aache mambo yanayogusa maisha ya watanzania kama upangaji eti aje ajibu huu upuuzi unaoueleza!!! Mwamvita kuwa na hiyo nyumba inatuhusu vipi watanzania? si ni hela zake! January embu shughulikia kwanza hoja ya nyumba huenda ikapunguza matatizo
 
Hii ni nchi ya kifalme tunarithishana tu uongozi,ucshangae we jaribu jiite tu,fulani utackia hivi we ndo mtoto wa.......Kaa hapa.
 
Mkuu usitueleze habari za kusikia. Game Theory amekwambia jamaa alisoma George Mason, ni Diplomat na alikuwa Msaidizi wa rais. Amefanya kazi Jimmy Carter Foundation ambapo hawafanyi kazi na vilaza, labda kama hujui Jimmy Carter alikuwa nani!

Sio january ninayemjua mimi'binafsi nina mashaka sana na uwezo wake'hata uongeaji unaonyesha wazi ni ukilaza unaotokana na kubebwa bebwa'nafikiri hata ubunge alionao siyo haki yake kabisa kama kweli aliupata kwa haki alikosa mpinzani wa kweli'''aaah no'kwangu mimi hata mlete majina ya college zote alizopitia bado jamaa hawezi'sijui fani yake lakini noo!
 
Ok ilianza na picha wapambe wameenda kutuletea interview nzima. Ninachoshangaa hapa watu badala ya kujadili aliyoyasema kwa kuyaunga mkono au kuyakosoa ni kelele tupu. Jamaa anasema serikali inatumia annually 400 billion shillings to subsidize tanesco hili watengeneze umeme ambao hupo very expensive wakati kuna means za kuweza kutengeneza umeme kirahisi pengine kuikoa na hiyo hela, assuming itaenda kwenye maendeleo mengine.

Interview nzima ime-cover mambo mengi ambayo yanasababisha the cost of living going up, lakini so far amna anaekuja na counterargument or even an improved alternative katika maoni ya huyu dogo, ni kelele tupu.
 
Kuna yeyote mwenye more details on the issues January addressed on ITV kuhusu umeme? Tusaidieni tafadhali ili tuzijadili na kuona jinsi gani tunaweza kusonga mbele na balaa hili la umeme.
 
January unanimalizaga kweli. Unaleta hoja unakuja kuzijibu mwenyewe. Kweli mzee makamba alizaa watoto. Wanajua media attention. Sasa hebu tuelezee kuhusu hili hekalu la mdogo wako?
mh. atakayekumaliza ni mdogo wako na Mwandishi wako wa habari Mange kimambi. Mnaona anawapaisha ngoja igeukie upande wako. Una habari amelipwa hela kukusnya data zako na wazito CCM. Msimwamini Mange ni ndumi la kuwili kati yenu shauri, mtajijuuu... walinijaribu lakini hawajapata kitu toka kwangu ila mange anatumika na wazito kukusanya habari zenu kashasema ulivyomsaidia kesi yake na magai, unahitaji zaidi?????
watu wamekuwa wajanja kinoma, wanatuma kitu toka bongo kutumia proxy, matokeo yake mnawakamata wachawi ambao siyo. mambo ya wakuu wa umeme mzee

muulize vizuri mamayo huenda wewe ni mtoto wa sheikh Yahya hussein as unakipaji cha kuwajua watu kwa miandiko ya kicharazio!
 
Kuna yeyote mwenye more details on the issues January addressed on ITV kuhusu umeme? Tusaidieni tafadhali ili tuzijadili na kuona jinsi gani tunaweza kusonga mbele na balaa hili la umeme.
Hipo somewhere you tube alikuwa akizungumzia monopoly za transformers na jinsi umeme unavyopotea hovyo njiani kwa sababu ya wazembe wengi waliojaa huko Tanesco. Just wait labda kuna mmpambe wake hata kuja kuiweka tena hapa au waombe mods kulikuwa na thread yake before.
 
January acha kutafuta attention na popularity ya watu. Kama ulitaka watu wasikilize hiyo interview yako ungepost tu link..sio kujiponda na kujitetea wewe mwenyewe!

Mkuu acha kuweweseka.

Huyu jamaa hajawahi kuishi hiyo mitaa unayosema. Amesoma Galanos na amefanya kazi makambi ya Wakimbizi wa Ngara na Kigoma, Carter Foundation. Kasoma George Mason University, ni diplomat wa daraja la II (Tafuta kabrasha wizara ya mambo ya nje kama uko interested). Amewahi kuwa speech writer wa JK kwa miaka mitano. (Uwezo wake umesimama kama utalinganisha speech za JK za miaka mitano iliyopita na hizi za sasa). Plus, vitabu unasema vya mashairi na Shigongo? Kijana ni mwamndishi mzuri, tazama hii video utajua vitabu ni vya aina gani Hon. January Y. Makamba on TANESCO's 40.29% electricity charges hike.avi - YouTube
Mwisho kabisa January ni mfano wa kuigwa, jipange ukitaka kuchafua vijana wa sampuli hii.

GTI
 
Hipo somewhere you tube alikuwa akizungumzia monopoly za transformers na jinsi umeme unavyopotea hovyo njiani kwa sababu ya wazembe wengi waliojaa huko Tanesco. Just wait labda kuna mmpambe wake hata kuja kuiweka tena hapa au waombe mods kulikuwa na thread yake before.

Just from reading your response, I don't think the whole story is being told kwanini tupo katika hali ya sasa. Tanesco kama ni wa kulaumiwa, ni kidogo sana. Tatizo ni serikali na siasa. Haiwezekani kuilaumu Tanesco ambayo inatumia 88% ya mapato yake just to pay independent power producers. But before sijachangia maoni yangu, lets wait for more details as you suggest, before we ruminate the issue at hand. Thanks for the You-Tube tip, ill have a look at that one as well.
 
January acha kutafuta attention na popularity ya watu. Kama ulitaka watu wasikilize hiyo interview yako ungepost tu link..sio kujiponda na kujitetea wewe mwenyewe!

mkuu msikilize halafu tuletee hapa jamvini
 
attachment.php

Wakuu wangu naombeni kwa moyo mmoja kabisa mnisaidie kwenye hili,siku hizi hatupati zile tv za ITV na Star tv, na nyinginezo,tuinapata TBC na radio zao peke yake

sasa tumeonyeshwa huyu mkuu akiwa anahojiwa na baadhi ya watangazaji mahiri wa Tbc ambayo tunatazama bila kupenda!mkuu huyu alihojiwa kwenye ofisi yake iliyosheheni mavitabu ya kila aina yakiwemo ya sheria na hadith mbalimbali,

kwa bahati nzuri au mbaya huyu mkuu nimeishi naye jirani maeneo ya mianzini pale Arusha na ulitokea ugomvi kati yake na mpangaji mwenzake nafikiri yalikuwa mambo ya mademu,alifukuzwa nyumba ile na kutia timu maeneo ya sakina ambako sikumwona tena mpaka nilipokuja kustuka kumwona bungeni!

wakuu naombeni mwenye cv ya huyu kiongozi anipatie kwa sababu nimepatwa na maswali kutokana na stahili yake ya kukusanya mavitabu mengi na kupiga picha mbele yake,haya niliyaonaga kulele CNN wanapohoji wazito kama wakina baraka obama au bill clinton wanatokea mbele ya mavitabu kibao

naombeni wakuu wangu nijue elimu ya huyu kiongozi mahiri kabisa anayekuja na stahili ya watazamaji kujiuliza mara mbili mbili!!
 
Januari anajicontradict, anataka Tanesco ijiendeshe kibiashara wakati huo huo hataki wapandishe bei zaidi ya asilimia 40% kwa sababu mishahara haipandi zaidi ya hapo, what kind of reasoning is this?
 
Game Theory upo?
Mkuu nadhani game theory yeye ndiye! Habari alizozitoa juu ya January ni za kweli ila kasahau/kajisahaulisha kazi yake nyingine moja tu.
Ila pia tuache unyanyapaa, January yupo vyema upstairs kulinganisha na vijana wengi wa umri wake. Mimi huwa namuona John Mnyika ndiye anayekaribiana na January. Hata kama anataka attention ya media kwa ajili ya political ambitions zake lakini yuko vyema.
 
Back
Top Bottom