Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Mkuu,if you can't fight them......
It is easily said than done...mkuu 911!
Mkuu,if you can't fight them......
Babake Enock,Wakuu ni Saa 4 na nusu hapo Dar... please any updates so far?
Mkuu Mwiba umeelekea wapi pasipojulikana? Au Karibu na Magogoni/Ferry?
Babake Enock,
Mjumbe wetu yupo eneo la tukio muda mrefu (almost masaa mawili yamepita) lakini naambiwa imemuwia ngumu kuweza ku-access kikao hiki kwani kaambiwa yeye si mhariri na akaambiwa atoe identification ya kuonesha yeye ni mhariri. Audio format itapatikana baadae hii leo
Yaani hawakunielewa nilipoambiwa niondoke labda kwa vile umiwawekea hali halisi ,wataona kama nilikuwa sitanii maana ,kwa hali ya Tz leo hakuna utani,halafu angalieni msije kufananisha mjumbe na mhariri.
Hivi wakuu nasikia about acting president humu ndani ni nani huyo???? Nataka kujua who is that?
Hivi wakuu nasikia about acting president humu ndani ni nani huyo???? Nataka kujua who is that?
Nandi wapi? Humu Jamvini au Huko kwenye Kikao?
Rais gani? Wa Nchi au wa Taasisi fulani?
Msimamo wa PPRA kuhusu ununuzi wa mitambo ya ------
Msimamo wa upande gani utapeta ?
Jibu analo acting Prez wa TZ - Huyo mwingine aliyechaguliwa 2005 achaneni naye, hana lolote, yuko likizoni.
Yah,nikweli mkulu.Ila jiulize hasa Zitto anachoking'ang'ania hasa katika mitambo hii ni kipi???Mi naona kaamua kujiunga nao...Maana hoja ya udharura wa kuepuka kuingia gizani si hoja tena.Na kusema sijui IPTL nayo ni mitambo chakavu and bla,blah...Ni kilele cha ufisadi.It is easily said than done...mkuu 911!
Lipumba anatetea Dowans inunuliwe katika kikao cha Kempiski. Hapo hapo, kikao kingine kinaendelea hapo hapo Kempiski ambacho 'wataalamu' wa Tanesco waliodai kwamba walikagua mitambo ya Dowans na kuona inafaa watazungumza na kutetea.
Hii INATISHA SANA na kwa KWELI NALILIA TANZANIA YANGU.
Nakumbuka zamani, 1995, 2000, 2005 na sasa 2010.... Hatuna upinzani, hatuna vyombo vya habari, JF haifiki kule kwetu Igunga na Kasulu na kwa kweli Watanzania wazalendo wa nchi hii watakufa wakijiona na nchi IKO REHANI
Mafisadi kuamua nani awe rais 2010?
Asante mkuu Halisi,
Watanzania tunafurahisha sana. Jambo moja tunalijadili mwaka mzima hakuna maamuzi. Imeamuliwa hakuna kununua mitambo ya Dowans, wasonge mbele na kutafuta solutions zingine.
Hivi haka ni kaugonjwa gani? Kweli Tanesco wanapoteza muda na resources kuendelea kulumbana kwenye mambo ambayo yametolewa uamuzi?
Hiyo sasa ni PR ambayo haimsaidii mtanzania wala haiongezi tija kwenye taifa.
Hata Lipumba alitakiwa wakati ule ule jambo hili linajadiliwa ndio achangie na sio baada ya maamuzi kutolewa.
Hata mimi nilishauri kama Dowans ni value for money tununue, lakini muda umepita tusonge mbele na kutafuta jawabu la matatizo yetu.
Kwenye serikali inayochaguliwa na watu kuna wakati lazima pia uangalie maoni ya watu. Kama wananchi hawataki kitu, kuna haja gani ya kulazimisha? Kwenye hili jambo zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania wanakataa, hata kama kimahesabu hawako sahihi, lakini inabidi kuwasikiliza.
Baridi.......Babake Enock,