Mkutano wa ufunguzi unadoda hapa live from usa

Imma01

Member
Feb 3, 2012
34
25
Wadau live from USA hapa, inaonekana kama mkutano unadoda, so jamaa wanachokifanya ni kukusanya waendesha pikipiki hapa kwa dau la TSh 30,000 na mafuta unapewa na bendera. sheli kuna foleni mbaaaayaa wanawekewa mafuta tu saiz. Kama una toyo embu jongea eneo la tukio hapo Magamba yakuweke mjini maramoja.

Wamepiga nyimbo za aina zote zote tangu asubui watu hawasogei, bolingo, mduara, takeu, hip hop, comedy, reggge lakina holaaaa.....
 
weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa . tupe na picha basi za tukio zima ikiwezekana
 
Wanajua wanakula CCM wanalala CDM, wito kwa wote wakele hela za mafisadi leo lakini wanajua jukumu lililo mbele yao ni kudondosha goliathi siku ya tarehe 01.04.
 
WAKIONDOKA WANAKWENDA KUPANGA MIKAKATI YA KUKWIBA KURA. HII LAANA YA KUIBA KURA ZA WANYONGE NDO INAKIMALIZA CHAMA.NAWASHAURI CCM WAKITAKA USHINDI BASI WAACHE KUKWIBA KURA za Wanyonge.
 
sisi tunajivunia pesa nyinyi mnajivunia hoja wananchi wananjaa ngoja tuangalie watafuata pesa au hoja @ "magamba"
 
sisi tunajivunia pesa nyinyi mnajivunia hoja wananchi wananjaa ngoja tuangalie watafuata pesa au hoja @ "magamba"

kula ccm, kura cdm! Ningekuwa hapo naenda nachukua hela,mafuta kibendera chao naweka mfukoni huyooo,arusha mjini. Jioni narudi zangu.
 
Mimi hata siamini!! subiri hadi mida ya saa tisa hadi kumi! saizi watu wanakunywa kwanza!
 
Time bado, utashangaa malori yanashusha watu kibao anytime from now!!! Wanajua kuwa hawawezi kuvuta watu biba kufanya hivyo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom