Mkutano wa Shein London Wavamiwa na Wazimbabwe & BALOZI MAJAAR vs JF

Kwa hali na tabia za akina Abuu na Chenge na Karamagi ninapinga kwa nguvu zangu zote DUAL CITIZENSHIP .Nasimama na hili na nimeshwahi kumwambia JK kwamba hatutaki DUAL .

Lunyungu hili suala sio kwa manufaa ya kina Abuu, Chenge na Karamagi- its about kila mtu anayeishi ughaibuni.
 
Tusisahau kuwa mumewe huyu balozi aliwahi kumbaka yule mfanyakazi wao wa ndani

Huyu jamaa najiita Mfanyabiashara lakini ukweli ni kuwa hana dili lolote lile. Maybe Balozi angemwambia mumewe aachane na mambo ya kujifanya Mwenyekiti wa CCM

Kitu kingine ninachokiamini ni kuwa huyu mama pamoja na usomi wake waote, ana matatizo kama ya yule binti wa CRDB. hana confidence.

Jiulizeni diplomat mzima kama huyu alishindwa vipi kumwambia mumewe aachane na mambo ya CCM especially UK ambako CUF ni wengi na waliwapa watu maisha tangu 1995?
 
ADMIN:

HEADING YA THREAD IMEKUWA KUBWA MNO

KWA NINI ISIWE BALOZI MAJAAR vs JAMBO FORUMS?

ilikaa vizuri sana hebu fanya edit ya hiyo heading

michu168-1.jpg

mich040.jpg

mich031.jpg

mich023.jpg

DSC_8551.jpg

DSC_8537.jpg
 
Nilitegemea kanga na vikoi vingi lakini sikuviona, sasa umesema imebidi nicheke mwenyewe kwanza LOL
 
Balozi Maajar analaumu blogs (jf included) kwa kutukana watu/viongozi na anasema tuko out of touch. Hatujiungi na TA (tanzania association)

Huyu mama ndiye yuko out of touch. Si ndiye huyu aliyetaka kumpa mumewe umwenyekiti wa CCM tawi la UK, watu walipoanza kumshambulia ndio mumewe ikabidi aingie mitini. Sasa kamshambulia Kitilya kwa cha ajabu kipi alichouliza? Bora huyu naye tuanze kumzomea maana anaonekana ni mtetezi wa mafisadi.
 
Huyu na yeye naona kuna dalili za kuunganishwa na mafisadi maana mambo ya JF uanza taratibu na fact utokea kidogokidogo na kukua na kuwa issue. Nafikiri na yeye muda wake umefika wa kuweka fact zake kwa walionazo.
 
mama said:
Unaweza kuanzia hapa kuangalia kama naye ana characteristics za mafisadi.

Mwanaidi Maajar,an Advocate and a Corporate and Mining Law Consultant. She is a founding Partner of Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani (Advocates), one of the leading law firms in Tanzania.

In February 2006 Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani (Advocates) merged with another leading law firm in Tanzania, Epitome Advocates to form REX ATTORNEYS with a view to provide better legal services to their largely international clientele. Her main specialisation is in the fields of corporate, commercial and mining law. She gives specialist advice on corporate set ups, corporate re-structuring, receiverships and liquidations, privatisation and divestiture of public corporations, commercial contracts, minerals and mining law, employment and labour law, tax law, business licensing and regulation and other matters. Her previous experience was in banking and exchange control.
She was a Legal Advisor to the Bank of Tanzania for six (6) years

Jiulizeni huyu mama ndiye aliridhia na kushauri mikataba ya kifisadi ya BOT. Vile vile aliletwa hapa UK kulinda mafisadi wenzake inakuwaje wageni wa CCM kila kukicha wanaamkia London? Hizi pesa za walipa kodi zinatafunwa bila msimamo. Vile vile rejea hapo juu interest kwenye biashara yake ni kwa foregn FISADIs.

Tunaomba Bunge kuchunguza matumizi ya hii ofisi.
 
Eti jamani naomba kuuliza tena kabla ya kuanza kumkoma nyani hapa, eti ameitaja JF, kabisa JF au kasema blog tu?

FMES,

Balozi hakuitaja JF kwa jina lakini kila mwenye akili timamu pale alijua anaongelea JF.

Mimi namheshimu huyu mama na niliona juhudi zake za mwanzoni kama zilikuwa na nia nzuri lakini hili la JF, kumshambulia Kitila kwa kuhoji gavana kushindwa hata kuongelea kidogo juu ya ufisadi wa BOT na pia kukabidhi shughuli kubwa kama hii kwa Mnigeria naona hapo enough is enough. Huenda umefika wakati wa kumkoma nyani giladi.

Huyu mama anaanza kuwa opportunist, alikuwa hata hana kadi ya CCM lakini leo pamoja na ueleo wake mkubwa, anaanza kugeuka kuwa mtetezi wa mafisadi na uongozi mbovu wa nchi ambao unatusababishia hasara ya mamilioni. Ameanza kuona mafanikio yake kisiasa ni bora kuliko Watanzania kwa mamilioni wanaohangaika kila siku shauri ya mafisadi ambao wanachota kila kitu.

Huyu mama tunajua anamkaribia Nkono kwa kukatiwa pesa nyingi za walala hoi
kwa cases ambazo hazikuwa na mwisho. Alikuwa na tenda ya kuwa wakili wa BOT kwa muda mrefu.

Mheshimiwa balozi, Tanzania ni kubwa kuliko mtu mmoja, hata kama una cheo, sisi Watanzania sio wajinga. Kitendo cha kutetea mafisadi na kuilaumu JF yetu umeanza kuvuka mipaka yako na unageuka kada wa CCM na mwakilishi wa mafisadi.

Imefika mahali Watanzania hatukubali tena kuwa bullied na tutamkoma nyani giladi bila kujali ni balozi au nani. Balozi kama unataka mapambano na JF, basi tuko tayari.
 
Huyu mama ni founding member wa kile chama cha kina Mtei, sio? Naona wamewapa mtu wa kuwakusanyia fedha huko, halafu watalaumiana. Hivi hawa Usalama wamelala?
 
Mama Majaar, tunajua sasa una kadi ya CCM. Umechukua baada ya kuona ulaji unakaribia. Bahati mbaya jina lako bado linaonekana kule kwenye trustee members wa CHADEMA.

Leo mmefanya Mnigeria aonekane mkubwa hata kuliko balozi wa nchi. Yaani mlikuwa mnashukuru utafikiri huyo mama ni rais wa nchi?

Hivi TA yetu mmeiuza wapi? TA ni Faraji na Nora.

Namshukuru katibu Lusingu kwa kunionyesha njia kwenda chooni, na kwenda ukumbini. Wakati Shein amekuwa mzee wa mikasi, mmefanya katibu wetu, mzee wa kuongoza watu kwenda vyooni?
 
Jamani hii ni kweli au!
ilikuwaje JK akamteua wakati anjua kuwa ni trustee wa CHADEMA.
 
Mama Majaar, tunajua sasa una kadi ya CCM. Umechukua baada ya kuona ulaji unakaribia. Bahati mbaya jina lako bado linaonekana kule kwenye trustee members wa CHADEMA.

Leo mmefanya Mnigeria aonekane mkubwa hata kuliko balozi wa nchi. Yaani mlikuwa mnashukuru utafikiri huyo mama ni rais wa nchi?

Hivi TA yetu mmeiuza wapi? TA ni Faraji na Nora.

Namshukuru katibu Lusingu kwa kunionyesha njia kwenda chooni, na kwenda ukumbini. Wakati Shein amekuwa mzee wa mikasi, mmefanya katibu wetu, mzee wa kuongoza watu kwenda vyooni?

Mtanzania

Kwa hili hata mimi limeniuthi kupita kipimo...yaani Katibu ametengwa utadhani ana ugonjwa wa kuambukiza. Wakati Nora na Abu Faraji wanajipendekeza kwa wageni rasmi Katibu alikuwa busy kurekebisha mambo kwenye ukumbi.

TA imenunuliwa na Wanigeria Dr Banjoro & Co..Balozi you have failed to Unite Tanzanians. Katibu alichaguliwa kwa Kura...na kama sijakosea Nora alichaguliwa Mjumbe tena bila kupingwa hivyo hata kura hakupigiwa. Ndio maana TA inayumba, kumbe imeshikiliwa na Wasanii wachache, wako wapi wale wajumbe wengine tuliowachagua, yuko wapi yule Mama aliyejifanya Mzanzibari aliyegombea Umakamu Mwenyekiti?
 
Wazee mliokuwepo huko, hebu tafadhali alisema nini kuhusu comments za Kitla(JF), ili tuzichambue, hebu ziwekeni exactly alivyosema, maana nashangaa kuwa hakuongelea mapesa ya Chenge, lakini akamjibu Kitila, who she think she is anyways?

Wakulu huko tumwagieni dataz zake huyu mama, mimi simjui vizuri, lakini ninajua info zake kidogo alipokuwa Weru Weru na Mlimani, sasa labda nimuuulize hivi ni kweli anataka a fight na JF?

Raundi one:- Mama Balozi VS JF, matokeo

(JF)Kitila 2, Mama Balozi 0 = And the winner is Kitila JF, Hands Down!
 
Ndio kwanza nimerudi toka kwenye mkutano wa WATZ UK na ubalozi wetu

Ins hort katika yote lililonigusa ni pale BALOZI MWANAIDI MAJAAR kuamua kutupiga kijembe..."eti ohhh hawataki kujiunga na jumuiya lakini hawaishi kwenda kwenye ma blog kulalamika" of course wana JF FAMILY wenzangu tuokuwa pale tuliishia kucheka na kutazamana.

Nililojiuliza ni WHY PICK A FIGHT?

balozi.jpg

Huyu balozi inaonekana yuko out of touch kabisa na dunia ya leo. Hivi mtu kujieleza lazima ujiunge na jumuiya? anasema kuwa kama tunashida naye twende ubalozini...swali , what about walio Cardif nae waende ubalozini kila Alhamis?

Inawezekana akawa ana nia nzuri lakini personally nisingependa kukutana naye ana kwa ana kwa sababu zangu binafsi na nigemuelewa angesema kuwa kama mwenye lake ambaye hawezi kufunga safari za Kila mwezi TANZANIA HOUSE amtumie e-mail hapo sawa

Huyu Mama ameprove kuwa:

NI MSOMAJI MZUI WA JAMBO FORUMS

HAPENDI MA CRITICS WA JAMBO FORUMS

ANATAKA KUWA OPEN LAKINI HAJUI AANZIE WAPI

NAFASI ALIYOPEWA NI YA KISIASA NA IN SHORT HUYU MAMA SIDHANI KAMA WAKIMTAKA AGOMBEE UBUNGE KAMA ATAKWEZA MAANA SIASA HAZIWEZI...

Cha muhimu aliadmit kuwa wao walimwambia GAVANA asiliongelee suala la EPA hapo ndipo nilipomshangaa

Balozi na rafiki zake wanandaa mkutano wa kutuambia twende kuinvest Tanzania lakini hataki Gavana azungumzie rushwa pale Benki kuu

Huyu mama inaelekea keshaanza kujiiingiza kwenye mambo ya SIASA na sijui how far she wants to go

zaidi ya hayo nina admit kuwa impact yetu ni kubwa na mwendo mdundo

Kwa matazamo wa haraka haraka inaonesha huyu mama hajui anachofanya kabisa na zaidi ya yote hajui kama anatakiwa afanye kazi ya nchi na si ya CCM.
 
Unaweza kuanzia hapa kuangalia kama naye ana characteristics za mafisadi.

Mwanaidi Maajar,an Advocate and a Corporate and Mining Law Consultant. She is a founding Partner of Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani (Advocates), one of the leading law firms in Tanzania.

In February 2006 Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani (Advocates) merged with another leading law firm in Tanzania, Epitome Advocates to form REX ATTORNEYS with a view to provide better legal services to their largely international clientele. Her main specialisation is in the fields of corporate, commercial and mining law. She gives specialist advice on corporate set ups, corporate re-structuring, receiverships and liquidations, privatisation and divestiture of public corporations, commercial contracts, minerals and mining law, employment and labour law, tax law, business licensing and regulation and other matters. Her previous experience was in banking and exchange control. She was a Legal Advisor to the Bank of Tanzania for six (6) years.

Now you are talking
 
Huyu bi mkubwa anatanguliza maslahi yake binafsi huyu and she knows what she is doing, hajashauriwa vibaya wala nini, she is doing what she is doing deliberately! Lakini ajue Watanzania wameshamshtukia...
 
FMES,

Balozi hakuitaja JF kwa jina lakini kila mwenye akili timamu pale alijua anaongelea JF.

Mimi namheshimu huyu mama na niliona juhudi zake za mwanzoni kama zilikuwa na nia nzuri lakini hili la JF, kumshambulia Kitila kwa kuhoji gavana kushindwa hata kuongelea kidogo juu ya ufisadi wa BOT na pia kukabidhi shughuli kubwa kama hii kwa Mnigeria naona hapo enough is enough. Huenda umefika wakati wa kumkoma nyani giladi.

Huyu mama anaanza kuwa opportunist, alikuwa hata hana kadi ya CCM lakini leo pamoja na ueleo wake mkubwa, anaanza kugeuka kuwa mtetezi wa mafisadi na uongozi mbovu wa nchi ambao unatusababishia hasara ya mamilioni. Ameanza kuona mafanikio yake kisiasa ni bora kuliko Watanzania kwa mamilioni wanaohangaika kila siku shauri ya mafisadi ambao wanachota kila kitu.

Huyu mama tunajua anamkaribia Nkono kwa kukatiwa pesa nyingi za walala hoi
kwa cases ambazo hazikuwa na mwisho. Alikuwa na tenda ya kuwa wakili wa BOT kwa muda mrefu.

Mheshimiwa balozi, Tanzania ni kubwa kuliko mtu mmoja, hata kama una cheo, sisi Watanzania sio wajinga. Kitendo cha kutetea mafisadi na kuilaumu JF yetu umeanza kuvuka mipaka yako na unageuka kada wa CCM na mwakilishi wa mafisadi.

Imefika mahali Watanzania hatukubali tena kuwa bullied na tutamkoma nyani giladi bila kujali ni balozi au nani. Balozi kama unataka mapambano na JF, basi tuko tayari.

Huyu Mama nilimpinfa from day one .Nadhani ana stress za maisha ya ndoa maana ndoa yake imejaa madudu na sasa anataka kuhamia kwa sisi washinda hoi .Ataumia na ni bora sasa akae kimya lakini kesha kanyanga mafuta.Nitataka kujua role yake katika BOT those days hata sasa na kiasi gani alilipwa.Huyu Mama I suspected her siku ya kwanza .Nilipo ona anaanza na matawi ya CCM na kukandamiza na Abuu nikajua hakuna kitu .Hana confidence ila anataka kujifanya mtu wa watu aonewe huruma .Huyu mama ni mchafu na dalili zote ni jinsi alivyo endesha uchaguza wa TA .Uchaguzi wa TA hata wakubwa walishiriki wakiwa Dar wakawa wanatoa directives nini kifanyike na kuwatema watu wa maana .Walisema wawepo watu wa kukubali maneno ya Mama na si Mama kufuata maneno yao.Mungu ni mwema kabla jogoo hajawika mama kaanza kujipakaza kinyesi .JF ilimsaidia mengi na sasa anataka kuiponda .Nadhani anakurupuka bila ya kujua historia .NI JF tulianza na BOT na wizi watu wakaponda leo hasa Sitta anajua .Sasa jamani Kapinga na wengine tunaomba kujua huyu Mama na pesa yetu ya Umma BOT .Na sasa London itamulikwa na we need to know if we needed a Nigerian woman kuwa katika maandalizi ya Watanzania ama mkutano ulikuwa ni wa Waafrika wote wakadanganya kwamba ni Watanzania.
 
Mama Majaar, tunajua sasa una kadi ya CCM. Umechukua baada ya kuona ulaji unakaribia. Bahati mbaya jina lako bado linaonekana kule kwenye trustee members wa CHADEMA.

Leo mmefanya Mnigeria aonekane mkubwa hata kuliko balozi wa nchi. Yaani mlikuwa mnashukuru utafikiri huyo mama ni rais wa nchi?

Hivi TA yetu mmeiuza wapi? TA ni Faraji na Nora.

Namshukuru katibu Lusingu kwa kunionyesha njia kwenda chooni, na kwenda ukumbini. Wakati Shein amekuwa mzee wa mikasi, mmefanya katibu wetu, mzee wa kuongoza watu kwenda vyooni?

Kuwa Balozi kwa kufanya u haki si lazima uwe mwana CCM.Mama alipewa ulaji siku nyingi kuanzia huko BOT na wizi wa peaa zetu na sidhani kama hadi sasa ni Chedama .Hawezi kuwa Chadema tena na sidhani amebakia Chadema kwa muda wote huu .Chadema wako hapa wanaweza kuja kutueleza kama wanamtambua hadi sasa .Ukisha kuwa namna yake huwezi kuwa Upinzani tena .So swala la yeye kuwa Chadema halipo kabisa .

Namuomba John Lusingu ajiondoe ukatibu wa TA awaachie wanao pewa heshima.John ulivumilia sana jana.Nadhani sote tumeona .Inatosha sasa waachie uongozi wao.Wewe ni mtu safi huna rushwa na hujui na huipendi na ndiyo maana walikutenga wakamchukua M Nigeria faste mover .Mkutano ule wa jana umetumia paundi 60,0000? Mama Majaliwa we would like to know pamoja na Abuu .Nora ni mali za mkubwa na aliwekwa pale kwa note maalumu .Yote haya tuliwaonya watu wa UK hamkutaka kuelewa .Endeleeni kumwaga sifa kwa Mwanaidi lakini yeye hataki sifa za kazi ila sifa za harufu ya EPA kaonyesha makucha kwamba hakuvuma lakini yumo .
 
Back
Top Bottom