Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

asante sana crashwise..katika harakati humu JF nilikula ban so nimekuja na ID hii ilimradi nije kusherehekea na magwanda wenzagu..viva CDM...
Ulikuwa unatumia ID gani?....is better ukaomba msamaha otherwise na hii itakuwa merged kwenye Ban.
 
Mimi leo hata uniletee kombati na skafu ya CDM naivaa tu kuonesha fair play. Tumesema mengi na uchaguzi umefanyika ni uungwana kushindana majukwani lakini kuheshimu uamuzi wa watu walioufanya kwa kusimama kwenye jua kupiga kura.
Mkuu mie nakupongeze kwanza kwa kuonesha kukubalianana matokeo halisi na huo ndio uungwana
 
crush wewe ni mtu muhimu sana hapa jf.
Hakuna asie mhimu mkuu...Pamoja sana mkuu...nimeondoka kabla ya mkutano kuanza ili nije kuwapatia picha nilijua watu wengi wange penda kupata picha za matukio huko USA River (ARUMERU) hivyo nitakosa matukio ya jioni hivyo alioko uwanjani ajitahi kutupia picha za matukio ya picha....
 
Huyo aliyegeuka picha ya kwanza mwenye kofia na T-shirt ya mistari, ni John Mashaka? au...?
 
Hakika ni siku njema na ya mafanikio sana kwa CDM. Nadhan safari ya mabadiliko ya kweli kuelekea 2015 imeanzia ARUMERU.
Sasa tunaomba CDM mkoa wa DSM, mtumie fursa hii kumleta Mh. Joshua N Dar es Salaam ili atambulishwe rasmi. Swala hili liende sambamba na utambulisho wa M4C pamoja na fund raising ktk jiji hili.
Hii itakuwa na manufaa makubwa sana kisiasa, ikiwapo kuamsha ari ya mabadiliko kuelekea kwenye uchaguzi mdogo ujao hapa DSM (Sege...)
 
People of Arumeru, big up kwa sana, hao mafisadi wametutesa sana lakini sasa wanakiona cha moto. Nakuambia tutawafanyizia na siku zao za kutunyanyasa hakika zinahesabika na sisi Genda issue hatuna utani tunataka tufanye kweli mpaka mjengoni 2015.
 
Ulikuwa unatumia ID gani?....is better ukaomba msamaha otherwise na hii itakuwa merged kwenye Ban.

acha wale tena ban ,nilikua natumia ID name Matola..watakua wamenionea ila dukuduku langu la kusherehekea ushindi nishalitoa hureeeee...
 
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.
Kwanza nikupe hongera sana Mwigulu kwa kupelekwa polisi jana bila kufinywa umekuwa na bahati sana baada ya kukamatwa ukigawa ngawila lakini tuna kusubili Arusha kwenye uchaguzi wa madiwani naamini utakuja....
 
asante sana crashwise..katika harakati humu JF nilikula ban so nimekuja na ID hii ilimradi nije kusherehekea na magwanda wenzagu..viva CDM...
Mimi nilishakula ban Mpaka nimezoea.siku hizi thread hatarishi siingizi team mkuu
 
Back
Top Bottom