Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon

Boss mbona sisi wengine tulipata mshiko kiduchu wakati tulitimiza majukumu yote uliyotutuma?
Au nikutumie akaunti yangu ya M-Pesa unijali kidogo kiongozi?
 
Gagurito uwe na imani hayo ni ya hakika nialike nitasema. Hiyo ya kutoamini kali usije siku moja ukazika watu wakiwa hai kwa kusema hawaaminiki watakuwa wote wameaga dunia kama mkulima aliyezika wanasiasa wote waliopata ajali. I have a strong feeling kusema hayo refa ameshamaliza mechi. Baada ya mechi hupewi penati yanini kulalamika. Hivi tunavyoongea kijana ana cheti mkonon

Safina sana Mh kwa kukubali matokeo, na kwa yote yalitokea ndio siasa zilivyo, lakini lile la Mh lusinde ni kosa kubwa sana alilifanya ndio vijembe vipo lakini vile sio vijembe ni kutukana hadharani, kwahiyo kama chama mkae na kuangalia mmepotea wapi maana sio utamaduni wa ccm ile iliyokuwa inapambana na cuf, pamoja na cuf kuwa na vijembe vingi na matusi ccm ilibaki kueneza sera na watu walielewa na kukipa ccm ushindi wa kishindo, lakini leo nyie chadema wanavijembe vichache na kueleza ccm imeshindwa wapi, mnakuja na vijembe na matusi na kusau kueleza mliyo ya fanikisha kwa miaka yote, tunajua yako mengi lakini mnashindwa kuya tetea.
 
Inaelekea wewe huwajui hawa magamba !! Mtu mwenye akili timamu hawezi kujipakaa madivi au kuvua sulupwete na kuacha masaburi nje then aibuke na kudai alikuwa amelewa sana !! If r upstairs is ok, kwa nini ulewe sana as if viwanda vya alcohol vinafungwa kesho !!

Huyu hana lolote, na hana tofauti na akina Lusinde, Nape, Chatanda and so forth including yule mwenye kumiliki na kutembea na SMG ........! Wameiba na kufilisi nchi, na wanaendelea kuiba na kumtumi huyu huyu kuhonga pesa za wizi eti kwa kujifanya ntoto wa mjini.

Hizi ni kanyaboya tuu, guilty conscious zimeanza kuwaingia na hizi ni rasha rasha tuu storm yenyewe inakuja na believe me or not, better muanze ku book selo pale segerea na keko !! Mbaya zaidi mmeanza kutumia makanisa bila hata aibu. I can't believe mtu kama huyu (we know what you did in Igunga) aende kanisani na kutamka mbele ya waumini eti he hopes roho mtakatifu awaangazie...... ............ damn can't even continue ....naweza meza hii key board....

Nimependa ustaarabu wa Nchemba anaouonyesha leo. Huku ndiko kukomaa kisiasa!
 
Nipo ndani ya uwanja wa Leganga Shule ya Msingi ila hakika mvua ni kubwa sana ila hakika raia wamechafukwa na mioyo kwn hakika pamoja na mvua kuwa kubwa ila watu hawang'atuki hapa walipo!

Ntarudi after!
 
Hongera CHADEMA, HONGERA MHE JOSHUA NASARI MB ARUMERU MASHARIKI CHAGUO LA WAMERU. KWA NIABA YA TIMU YA KAMPENI YA CCM NAKUPONGEZA KWA RIDHA ULIOPEWA NA WANAARUMERU.
Hypocrisy at work...One of the things you should learn from this Arumeru result (personally)is that...offensive, abusive, dirty and undisciplined campaigns will never lure serious voters into changing their minds....especially in today's TZ...this is what you and your fellow ignorant offenders should take home to your families.....By the way...i will be very disappointed if your party will fail to punish you,wassira and that dumb ass lusinde......because you have greatly disgraced your party......this is a well documented fact...very unfortunately for you.......
 
Inaelekea wewe huwajui hawa magamba !! Mtu mwenye akili timamu hawezi kujipakaa madivi au kuvua sulupwete na kuacha masaburi nje then aibuke na kudai alikuwa amelewa sana !! If r upstairs is ok, kwa nini ulewe sana as if viwanda vya alcohol vinafungwa kesho !!

Huyu hana lolote, na hana tofauti na akina Lusinde, Nape, Chatanda and so forth including yule mwenye kumiliki na kutembea na SMG ........! Wameiba na kufilisi nchi, na wanaendelea kuiba na kumtumi huyu huyu kuhonga pesa za wizi eti kwa kujifanya ntoto wa mjini.

Hizi ni kanyaboya tuu, guilty conscious zimeanza kuwaingia na hizi ni rasha rasha tuu storm yenyewe inakuja na believe me or not, better muanze ku book selo pale segerea na keko !! Mbaya zaidi mmeanza kutumia makanisa bila hata aibu. I can't believe mtu kama huyu (we know what you did in Igunga) aende kanisani na kutamka mbele ya waumini eti he hopes roho mtakatifu awaangazie...... ............ damn can't even continue ....naweza meza hii key board....

Nawajuwa vizuri sana kaka, ni vigeugeu wazuri sana hawa. Nimemwambia simwamini na magamba wote hawaaminiki, nikamtaka ajitokeze kwenye mkutano wa hadhara ayaseme haya mbele ya kadamnasi akasema yupo tayari. Hebu fatilia mazungumzo yetu mkuu!
 
asante sana crashwise..katika harakati humu JF nilikula ban so nimekuja na ID hii ilimradi nije kusherehekea na magwanda wenzagu..viva CDM...
 
People of Arumeru, big up kwa sana, hao mafisadi wametutesa sana lakini sasa wanakiona cha moto. Nakuambia tutawafanyizia na siku zao za kutunyanyasa hakika zinahesabika na sisi Genda issue hatuna utani tunataka tufanye kweli mpaka mjengoni 2015.
 
Kwa kweli ni haki yao kushangilia, wameliletea heshima kubwa taifa kwa kufanya maamuzi ambayo mikoa na majimbo mengi hushidwa kuyafanya. Kwa hakika wameru mmetupa raha. Furaha yenu ni furaha yetu sote hata wale wa mikoa na majimbo mengine nje ya meru.
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom