Mkutano wa Nne (4 ) wa Ngazi ya Juu Kuhusu Masuala ya Misaada

yode

Member
Nov 20, 2011
5
1
Ni Mkutano unaotambulika kwa Kiingereza The High Level Forum On Aid Effectiveness (BUSAN HLF 4) utakaofanyika katika jiji la Busan- South Korea. Mkutano huu unatarajiwa kuhudhuriwa na washiriki zaidi ya 3000 ambao ni government officials, civil societies, parliamentarians, business groups e.t.c.Ningependa kufahamu kama washiriki wowote ktk hizo group kutoka Tanzania ambao watakwenda kushiriki mkutano huo muhimu unaolenga kujadili namna ya kuziwezesha nchi zinazoendelea (Tanzania ikiwa mojawapo) katika :

Kufanya Stocktaking from the Paris / Accra process

Agreeing on features of high quality aid and its monitoring framework towards 2015

Situating aid in its broader development context: By
- Engaging More actors
– Diversifiedapproach: MICs, LICs, FS, regions
– Catalystdimension: trade, security, climate…
– Resultsand right-basedapproaches

Kwa yeyote mwenye taarifa tuambizane email ymaua@yahoo.com
 
Hii ni nafasi nzuri kwa Tanzania kupeleka kilio chetu hususani kile cha kupewa masharti juu ya kupewa misaada kwa kufuata vigezo ambavyo vinakwenda kinyume na mila na desturi mfano alivyoongea David Cameroon juzi {Eti kuruhusu ndoa ya jinsia moja::(((} ndio upewe msaada. Nani atathubutu upuuzi huo. Mengi yanaweza kujadiliwa. Chonde Wawakilishi wakaongee mitazamo na matakwa yetu kwa mapana zaidi.
 
Back
Top Bottom