Mkutano wa Nape Nnauye Igoma waisha salama

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Mkutano wa Nape na jamaa yake ambaye ni muasisi wa kampeni za kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka igunga umeisha salama kwa Mwigulu Nchemba kuzomewa na kuzungumzia ushindi wa Igunga kama kawaida yake kana kwamba ndiyo kaanzia siasa Igunga, pia ameishia kuongea Lugha tu za kejeli na matusi kwa watu wa mwanza na kanda ya ziwa kama : ukiona baba wa kambo anakupenda ujue anampenda mama yako siyo wewe...,

Nape yeye kasoma alama za Nyakati hakuzungumzia chcochote kuhusu wapinzani kazungumzia sera yao ya kujivua gamba na kusema anaungana na watanzania wengine kupinga kulipwa kwa dowans na kama ikilipwa waliohusika wataifishwe mali zao ndiyo zifidie hilo deni na mwisho kaishia kuimba wimbo wa baba yake .. Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote

Mkutano umefanyikia Igoma barabarani kwenye soko watu wanakuwepo pale hata kama mkutano haupo, na mafuso yalifanya kazi ya kusomba watu kutoka ngudu, misungwi na kwingineko ambapo roho ya nduhu tabu haijakemewa kwa jina la CHADEMA
 
eti anampenda mama ako?? Ha ha ha huyu jamaa kweli anawazaga tu uchi
 
Kwenye facebook nape kaandika "
[h=6]Nape Nnauye
Hakika nimefanya mikutano mingi lakini wa Leo Igoma umevunja rekodi! Nasubiri Star TV waonjeshe walau kidogo saa mbili usiku[/h]
 
Wanaeleke wapi baada ya hapo. Waambieni wajaribu kwenda Bariadi wakamvue gamba chenge kama hawataambulia matusi ya nguoni toka kwa akina mama maana wanaume hawahudhurii mikutano ya ccm!
 
pale igoma stendi huwa kuna watu full time.....hawana lolote wale..mwigulu nae kazi kuwaza uchi tu
 
Kwenye facebook nape kaandika "
[h=6]Nape Nnauye
Hakika nimefanya mikutano mingi lakini wa Leo Igoma umevunja rekodi! Nasubiri Star TV waonjeshe walau kidogo saa mbili usiku[/h]

Nape aache porojo aweke picha hata huko facebook tutaziona tu.

Aliahidi kuweka picha za mkutano wa jana wa magomeni kirumba lakini hakuweka.

Kama mkutano wake ungekuwa na nyomi asingesubiri hisani ya startv, angezitundika hapa ama wafuasi na makada wao wangezitundika. Kutoweka picha ni dalili za wazi kwamba mikutano yake inazidi kudoda.
 
Unaifahamu igoma au unasimuliwa? Kwani ili iitwe stand lazima iwe ya mabasi ya mikoani?

Zile express za mjini-igoma zinasimama wapi?

Tata Mwita Maranya achana na mzembe wa akili huyu ma CCM huyajui na akili zao ?Yamechanganyikiwa yameshikwa pabaya kila kon yana zomewa mwizi they ar very much unconfortable na situation .
 
Mkutano wa Nape na jamaa yake ambaye ni muasisi wa kampeni za kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka igunga umeisha salama kwa Mwigulu Nchemba kuzomewa na kuzungumzia ushindi wa Igunga kama kawaida yake kana kwamba ndiyo kaanzia siasa Igunga, pia ameishia kuongea Lugha tu za kejeli na matusi kwa watu wa mwanza na kanda ya ziwa kama : ukiona baba wa kambo anakupenda ujue anampenda mama yako siyo wewe...,

Nape yeye kasoma alama za Nyakati hakuzungumzia chcochote kuhusu wapinzani kazungumzia sera yao ya kujivua gamba na kusema anaungana na watanzania wengine kupinga kulipwa kwa dowans na kama ikilipwa waliohusika wataifishwe mali zao ndiyo zifidie hilo deni na mwisho kaishia kuimba wimbo wa baba yake .. Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote

Mkutano umefanyikia Igoma barabarani kwenye soko watu wanakuwepo pale hata kama mkutano haupo, na mafuso yalifanya kazi ya kusomba watu kutoka ngudu, misungwi na kwingineko ambapo roho ya nduhu tabu haijakemewa kwa jina la CHADEMA

Asante kwa taarifa

  • Hujaeza sababu za watu kuwazomea na action iliyo chukuliwa
  • NAPE ndivyo inavyotakiwa zifanyike siasa za ustaraabu na si matusi haipendezi mkuu
  • Sasa wajifunze kutowabeba watu kwa magari hii itawafanya wajue namna watu wana mahaba na chama
  • KILA LA HERI NAPE KTK KUWAVUA MAGAMBA HAO ILA HATUONI TUNASIKIA TU KILA SIKU HII TONE
 
Mkuu edmond majina mengine ni kuvunjiana heshma tu
Unaweza kueleza hisia na maoni yako bila kudharau mtu
 
Mkutano wa Nape na jamaa yake ambaye ni muasisi wa kampeni za kitanda kwa kitanda na shuka kwa shuka igunga umeisha salama kwa Mwigulu Nchemba kuzomewa na kuzungumzia ushindi wa Igunga kama kawaida yake kana kwamba ndiyo kaanzia siasa Igunga, pia ameishia kuongea Lugha tu za kejeli na matusi kwa watu wa mwanza na kanda ya ziwa kama : ukiona baba wa kambo anakupenda ujue anampenda mama yako siyo wewe...,

Nape yeye kasoma alama za Nyakati hakuzungumzia chcochote kuhusu wapinzani kazungumzia sera yao ya kujivua gamba na kusema anaungana na watanzania wengine kupinga kulipwa kwa dowans na kama ikilipwa waliohusika wataifishwe mali zao ndiyo zifidie hilo deni na mwisho kaishia kuimba wimbo wa baba yake .. Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote

Mkutano umefanyikia Igoma barabarani kwenye soko watu wanakuwepo pale hata kama mkutano haupo, na mafuso yalifanya kazi ya kusomba watu kutoka ngudu, misungwi na kwingineko ambapo roho ya nduhu tabu haijakemewa kwa jina la CHADEMA
Kumbe walizomewa!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom