Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

Ulizuka ubishi mkali kati ya Mwakyembe na vibaraka wa rostam, hasa Balile aliyekua anataka kung'ang'ania kuwa kanuni si sheria...Dr akamwangusha vibaya mno juu ya ubishanii huo.
kwa ufupi amesema anamiliki hiyo kampuni, ila anasema hawezi kutangaza confilic of interest sehamu ambayo hamna maslahi ya kifedha (accoding to sheria conflict of interest lazima kuwe na maslahi ya kifedha) as hiyo kampuni yake haina hata shilingi na inahitaji kama nusu trillion ili kutake off, so it is currently just a dream, ambayo inaweza ikawa au isiwe.
 
Shukran Inv kwa dondoo, la msingi kwa maoni na mtamzamo wangu ni kwamba ivi kama watu kama Dk Mwakyembe kama alivosema kuwa RA ni mchafu ivi ni kwa nini wote wenye kujua ni muovu wasiseme tu maovu ili sisi watanzania tujue moja mana tuna zidi kubaki gizani,Ra naye anaweza akaita waandishi akasema ivo ivo kuwa Dk naye mchafu bila kutaja mauchafu.....sasa waseme tu ili raia tujue ukimkuta barabarani una monga tu!!!!!!!
 
Invissible naku salute mkuu kwa kutuhabarisha,Mwakiembe asitake kutufanya watanzania hatuna akili ww mwenyewe ulitupostia hapa document zake brella zinaonyesha kuwa mpaka jully 2007 alikuwa bado ni share holder wa hii kampuni..

Ifike mahali tusichezewe akili kiasi hichi ukiangalia kikao cha board ya hii kampuni ya mwakiembe hizo share anazo mpaka 3rd board meeting alokaa na yeye kupongezwa na bado kulifanyaika re allotment of shares na mwaky alichukua share 15 zikiwa na lengo la kuongeza mtaji wa 10bn ambao kikao chao cha April cha board kiliamua.

Lakini hiyo hoja ni utoto kama ali transfer 2006>2007 alitransfer share zipi zile 1400 or za tbc 1998 or za mecco cha kushangaza waandishi hawajauliza hili swali JF ni sehem Takatifu ambayo hujadili vitu kwa mantiki.

Najiuliza kama hoja yake ya kuuza share or kutransfer je alilipa kodi zetu stahili kuna 10 parcent capital gain tax na 1 parcent stamp duty je hizi alilipa mpaka jully 2007 document halali zinaonyesha kuwa jamaa alikuwa share holder.

Nikiwa katika korido za BRELA leo nimeona wabunge wawili wote wakikimbiza kutafuta Faili za Hii kampuni ya mwakiemnbe na pia ofisi ya bunge ikiwa inalitafuta hili faili najiuliza wapambe wa mwakiembe wanataka hili faili la nini kwa taarifa mbunge mmoja ni mwakiembe mwenyewe huyo mwingine ni wa upinzani.

Mwakiembe ameshambulia kampuni ya New Habari kuwa ni RA huyu jamaa ndo maana pale chuo alikuwa ni Mmoja wa wahadhiri wabovu hakuna document inayo onyesha kuwa RA ana hisa Habari Corporation,sasa anap[osema RA anamchafua kwa magazetio yake ni hoja ya kitoto,nilitegemea angekuja kutueleza why haku decleare intrest ameshindwa na kuleta utoto kuwa mbona waandishi wana magazeti na bado ni waajiriwa kwa hiyo tuhalalishe uovu kwa kuwa flani kafanya maovu,

Kwakweli Tabia ya wanasiasa kukimbilia Personallty badala ya kujibu hoja ni mbaya sana mtu akitofautiana na Mwaky,Sita,SELELLII,na wenzie basi kanunuliwa au ni Fisadi,hapa tulimtuhumu zito kwa kuwa kajenga hoja yake why we should buy Dowans badala ya kujibu hoja wanasiasa,na hata hapa JF tuligeuka wote kumshambulia kuwa kanunuliwa for god sake ni hatari kuendesha Nchi au wananchi kuwa na Mawazo kuwa yoyote mwenye Msimamo wake tofauti na wengine basi anatumika.

Mwisho na decleare my position kuwa mm ni mwana CCM na ktk hili naungana na zito kwa HOJA na si Itikadi,Mwakiembe natofautiana nae kwa HOJA,MAADILI,ila Naungana nae kwa ITIKADI ya Chama ingawa yeye yupo CCM inayoendeshwa kwa hisia zaidi na personality ,wakati mm nipo CCM inayoa amini ktk hoja

Zitto kama Dk. Kabourou!!!!! Mungu wangu tumekwisha
 
The issue here ni kwamba kasema hizo shares have been transferred. The whole process of the transfer and how he has approached it is an entirely personal matter with his accountant or however he chooses to do it with. If you have been involved in these things, am sure you know there are many ways available to disposing of shares. So What is the reason for your speculation? Are you implying that he has lied about the transfer?

Mkuu DawaKali,

Nafikiri unaelewa maana ya kusema na kutenda kwamba sio sawa.

Bahati mbaya sio mwandishi wa habari, ningejua kweli kuwafunga kengere hawa wanasiasa.

Remember this: "I did not have sex with that woman, Monika Lewinsky"
In deed, "I did have a relationship with Monica Lewinsky that was not appropriate"

Laiti waandishi wangekubali kila alichosema Clinton, hiyo sentence ya pili tusingeijua.

Kama ame transfer shares njia pekee ya kuonyesha hivyo ni malipo aliyofanya TRA.

Hii ni politics, watu tuko hapa kusafisha class ya TZ. Lazima wanasiasa wajue tuko serious na hatutadanganywa kirahisi. Hakuna ushabiki, hakuna uadui, it is about principles!

Ni ukweli tu utakuokoa na wala sio mpangilio mzuri wa maneno.
 
basi mungu atanyanyua watu na kuonyesha maovu mengi yaliokuwa yakifanywa hapo nyuma..,na JF ndio wakina modekia...lazima mungu....,,aoneakane;
 
Mkuu DawaKali,

Nafikiri unaelewa maana ya kusema na kutenda kwamba sio sawa.

Bahati mbaya sio mwandishi wa habari, ningejua kweli kuwafunga kengere hawa wanasiasa.

Remember this: "I did not have sex with that woman, Monika Lewinsky"
In deed, "I did have a relationship with Monica Lewinsky that was not appropriate"

Laiti waandishi wangekubali kila alichosema Clinton, hiyo sentence ya pili tusingeijua.

Kama ame transfer shares njia pekee ya kuonyesha hivyo ni malipo aliyofanya TRA.

Hii ni politics, watu tuko hapa kusafisha class ya TZ. Lazima wanasiasa wajue tuko serious na hatutadanganywa kirahisi. Hakuna ushabiki, hakuna uadui, it is about principles!

Ni kweli tu utakuokoa na wala sio mpangilio mzuri wa maneno.

Tuko pamoja hapo mkuu
 
Ulizuka ubishi mkali kati ya Mwakyembe na vibaraka wa rostam, hasa Balile aliyekua anataka kung'ang'ania kuwa kanuni si sheria...Dr akamwangusha vibaya mno juu ya ubishanii huo.
kwa ufupi amesema anamiliki hiyo kampuni, ila anasema hawezi kutangaza confilic of interest sehamu ambayo hamna maslahi ya kifedha (accoding to sheria conflict of interest lazima kuwe na maslahi ya kifedha) as hiyo kampuni yake haina hata shilingi na inahitaji kama nusu trillion ili kutake off, so it is currently just a dream, ambayo inaweza ikawa au isiwe.

Mkuu,

Hiyo kampuni ni NGO? Utasemaje a private company haina maslahi ya kifedha? Kwanini unaanzisha a private company kama sio kupata faida?

Naona hiyo argument ni very weak!
 
The issue here ni kwamba kasema hizo shares have been transferred. The whole process of the transfer and how he has approached it is an entirely personal matter with his accountant or however he chooses to do it with. If you have been involved in these things, am sure you know there are many ways available to disposing of shares. So What is the reason for your speculation? Are you implying that he has lied about the transfer?

Hii ingekuwa hivi "The whole Process of transfer and how he has approached it is entirely public matter'.
Huyu ni mbunge na anamiliki na anachozungumzia inahusu suala la Taifa iweje useme kuwa halihusu Taifa. Kwani hakuna sheria inayowabana hawa Wabunge angalau kueleza mali zao? Au hakuna sheria za kumiliki kwa Taifa na kama sikosei huyo uliyemkoti alizungumza kuhusu sheria ya kuhaulisha mali. Tusitetee mazuri tukachanganya na mabaya kila kimoja kiwekwe kunakohusika.
 
]Invissible[/B] naku salute mkuu kwa kutuhabarisha,Mwakiembe asitake kutufanya watanzania hatuna akili ww mwenyewe ulitupostia hapa document zake brella zinaonyesha kuwa mpaka jully 2007 alikuwa bado ni share holder wa hii kampuni..

angalia sana majina ya watu si vema kukosea jina hususani la mtu.

Lakini hiyo hoja ni utoto kama ali transfer 2006>2007 alitransfer share zipi zile 1400 or za tbc 1998 or za mecco cha kushangaza waandishi hawajauliza hili swali JF ni sehem Takatifu ambayo hujadili vitu kwa mantiki.

hii hoja ni nzuri, we hope waandishi watamfuata Dk.Mwakyembe na kumuuliza au ataamua kujibu mwenyewe kwani huwa anatembelea JF hasa thread zinazomhusu.

Najiuliza kama hoja yake ya kuuza share or kutransfer je alilipa kodi zetu stahili kuna 10 parcent capital gain tax na 1 parcent stamp duty je hizi alilipa mpaka jully 2007 document halali zinaonyesha kuwa jamaa alikuwa share holder.

Hapa sasa unaanzakuonyesha kuwa unaagenda binafsi dhidi ya Dk. Mwakyembe. Huna base ya kumshuku juu ya kukwepa kodi, hata Dawasco walifikia mahali wakamuomba msamaha.

Nikiwa katika korido za BRELA leo nimeona wabunge wawili wote wakikimbiza kutafuta Faili za Hii kampuni ya mwakiemnbe na pia ofisi ya bunge ikiwa inalitafuta hili faili najiuliza wapambe wa mwakiembe wanataka hili faili la nini kwa taarifa mbunge mmoja ni mwakiembe mwenyewe huyo mwingine ni wa upinzani.

Mtu yeyote anahaki ya kuomba faili lolote pale BRELLA ilimradi afuate taratibu zilizowekwa. Kama wabunge wanafuatilia hilo ni jambo jema, ndiyo majukumu yao hayo, badala ya sisi wananchi wote kwenda, wao wanatuwakilisha na tunatarajia kuwa watatuambia yaliyomo.

Mwakiembe ameshambulia kampuni ya New Habari kuwa ni RA huyu jamaa ndo maana pale chuo alikuwa ni Mmoja wa wahadhiri wabovu hakuna document inayo onyesha kuwa RA ana hisa Habari Corporation,sasa anap[osema RA anamchafua kwa magazetio yake ni hoja ya kitoto,nilitegemea angekuja kutueleza why haku decleare intrest ameshindwa na kuleta utoto kuwa mbona waandishi wana magazeti na bado ni waajiriwa kwa hiyo tuhalalishe uovu kwa kuwa flani kafanya maovu,

hapa ndo umeonyesha nia yako kuwa ni kumtetea fisadi Rostam aziz. ebae ni kampuni gani ya RA ambayo anaonekana kwenye nyaraka. Kazi yake ni kuwatumia watu kama Kyemohendo na wewe ili kukwepa kujulikana. Haihitajiki elimu yeyote kujua kuwa Rostam Aziz ni fisadi aliyekubuhu. Wizi wote mkubwa RA yumo, sasa wewe unatetea nini? Kampuni ya new habari cooperation ni ya Rostam aziz kwani nani hajui? acha kuficha kichwa wakati mwili wote unaonekana.

Mwisho na decleare my position kuwa mm ni mwana CCM na ktk hili naungana na zito kwa HOJA na si Itikadi,Mwakiembe natofautiana nae kwa HOJA,MAADILI,ila Naungana nae kwa ITIKADI ya Chama ingawa yeye yupo CCM inayoendeshwa kwa hisia zaidi na personality ,wakati mm nipo CCM inayoa amini ktk hoja

sawa CCM tupo wengi hapa, tunaomuunga mkono Zitto tupo wengi hapa. Wtu kama mimi hatuungani na mtu kwa itikadi wala hoja fulani bali uzalendo kwa taifa letu. Suala la mitambo ya dowans hatununui ila tunaitaifisha kwani sheria inaruhusu. Umesoma cheche ya leo mkuu?
 
Mtanzania unasema kweli kabisa.
Ukweli ndiyo utakaotusaidia bila kuangalia ni nani anasema nini. Mwakyembe alisimamia kidedea Richmond na sisi kwa ukweli ulivyotulimkubali kabisa. Kaja sasa hivi kaleta mgongano wa maslahi anaanza kujitetea kwamba kuna watu wanamchafua. Hao watu walimtuma yeye akafungue kampuni? Au walimroga akaenda kufunga kampuni bila kujijua? Kisha anasema hana maslahi ya kifedha, kwani maslahi anayayojua yeye ni ya kifedha tu? Na kama ulivyosema hiyo siyo NGO sasa mtu atafunguaje kampuni bila kufikiria biashara. Point blank kwa wajamaa ni kwamba wanatakiwa kupewa kadi nyekundu. Tumechoka na hizo kambi zenu na kila siku kutuletea vimbwanga visivyokuwa na maana. Mmeiharibu nchi mmeifanya kila siku watu wanasikilizia nani anamchafua nani na nani atajitetea vipi. So Mwakyembe (na kundi lako) najua mnapingana na Rostam (na kundi lake) lakini message nayowapo makundi yote mawili ambayo ni short and clear tumewachoka na siasa zenu chafu, za majungu, kutafutiana scandals.
 
Looh! ningelikuwa mshauri wa Dr. ningemwambia don't mention Rostam, hiyo kazi weka siku nyingine.

Concentrate kwenye hoja iliyoko mbele yako na jibu mambo yote kwa ukweli kadri uwezavyo.

Unapojitetea katika tuhuma nzito za kifisadi kama unamjua mbaya wako anayetaka kukuharibia reputation yako basi huna budi kumuanika hadharani siku hiyo hiyo unayopata nafasi ya kuzungumzia tuhuma dhidi yako. Hiyo siku nyingine inaweza isiwepo maana hatuna mkataba na Mwenyezi Mungu na matokeo yake ukaacha utata chungu nzima na maswali yasiyojibika. Mimi namuunga mkono kwa kumtaja hadharani mbaya wake.
 
Kuna mstari mwembamba kati ya 'mwembwe nyingi' na 'jazba kali'!

Mkumbuke Mtikila na mpambano wake na "Mchafu"!
 
Mkuu DawaKali,
Ni kweli tu utakuokoa na wala sio mpangilio mzuri wa maneno.
So you stand with your assertion that the good Dr is lying? Nilishtuka tu kidogo kukusikia una speculate uhalali wa hio transfer, wakati yeye kashasema amewaruhusu wafwatilie documentation trail ya hio tranfer na yeye kujitoa.
 
angalia sana majina ya watu si vema kukosea jina hususani la mtu.

hii hoja ni nzuri, we hope waandishi watamfuata Dk.Mwakyembe na kumuuliza au ataamua kujibu mwenyewe kwani huwa anatembelea JF hasa thread zinazomhusu.

Hapa sasa unaanzakuonyesha kuwa unaagenda binafsi dhidi ya Dk. Mwakyembe. Huna base ya kumshuku juu ya kukwepa kodi, hata Dawasco walifikia mahali wakamuomba msamaha.

Mtu yeyote anahaki ya kuomba faili lolote pale BRELLA ilimradi afuate taratibu zilizowekwa. Kama wabunge wanafuatilia hilo ni jambo jema, ndiyo majukumu yao hayo, badala ya sisi wananchi wote kwenda, wao wanatuwakilisha na tunatarajia kuwa watatuambia yaliyomo.

hapa ndo umeonyesha nia yako kuwa ni kumtetea fisadi Rostam aziz. ebae ni kampuni gani ya RA ambayo anaonekana kwenye nyaraka. Kazi yake ni kuwatumia watu kama Kyemohendo na wewe ili kukwepa kujulikana. Haihitajiki elimu yeyote kujua kuwa Rostam Aziz ni fisadi aliyekubuhu. Wizi wote mkubwa RA yumo, sasa wewe unatetea nini? Kampuni ya new habari cooperation ni ya Rostam aziz kwani nani hajui? acha kuficha kichwa wakati mwili wote unaonekana.

sawa CCM tupo wengi hapa, tunaomuunga mkono Zitto tupo wengi hapa. Wtu kama mimi hatuungani na mtu kwa itikadi wala hoja fulani bali uzalendo kwa taifa letu. Suala la mitambo ya dowans hatununui ila tunaitaifisha kwani sheria inaruhusu. Umesoma cheche ya leo mkuu?

Mkuu huwa nampongeza yule mwenye msimamo usiobadilika kwa upenzi.
Ninachokusudia kusema kuwa Mwakyembe alipoambiwa Aproduce risiti kuonyesha kuhaulisha shares ulimaka na kukuita kuwa ni shutuma lakini kwa kuambiwa upatikane uthibitisho wa miliki ya RA kwa gazeti unageuka na unasahau msimamo wako wa awali . AMA KWELI MAPENZI UPOFU hata mwerevu atatumbukia tu.
 
So you stand with your assertion hat the good Dr is lying? Nilishtuka tu kidogo kukusikia una speculate uhalali wa hio transfer, wakati yeye kashasema amewaruhusu wafwatilie documentation trail ya hio tranfer na yeye kujitoa.

Dawakali,

Nionyeshe wapi nimesema anadanganya? Mimi siamini kitu mpaka nifanye checks zangu.

Unataka niamini maneno ya wanasiasa bila kufanya checks zozote, jibu ni NO. Je kufanya hivyo ina maana unamtuhumu mtu kwamba anadanganya, jibu ni NO.

Hizo checks ninazofanya ndio zitanipa uhakika wa kama mtu anadanganya au anasema ukweli.

Naamini hata taaluma ya Waandishi wa habari ni hivyo hivyo.

Kumbuka neno "Due Diligence" mkuu. Kama wewe unaamini amini bila kufanya due diligence, good luck!
 
Ndio hasa ilikua swali langu kwako. Why have you pre empted hio validation ya documents by implying that you do not believe that transfer has gone through because it costs a lot of money do so. What makes you think costs is the issue here? Did you give him the money to invest to know what he can and cannot do? That is why I do not understand your speculation in this. What is it Mkuu?

Mkuu Ivisible,
Kama mheshimiwa ka transfer hizo shares zake inatakiwa awe amelipa pesa nyingi kweli kwenye hiyo process, kwa mtaji wa karibu bilioni 2, huenda ikawa mamilioni. Bila kufanya hayo malipo, hata ukirudisha hizo form zinakuwa hazina maana na bado unaendelea kuwa mmiliki wa shares hizo. Kama nakumbuka vizuri inatakiwa kulipa TRA 1% ya thamani ya shares kabla ya BRELA kuhalalisha hiyo transfer. I hope Dr. alifanya hivyo.
 
Last edited:
Unapojitetea katika tuhuma nzito za kifisadi kama unamjua mbaya wako anayetaka kukuharibia reputation yako basi huna budi kumuanika hadharani siku hiyo hiyo unayopata nafasi ya kuzungumzia tuhuma dhidi yako. Hiyo siku nyingine inaweza isiwepo maana hatuna mkataba na Mwenyezi Mungu na matokeo yake ukaacha utata chungu nzima na maswali yasiyojibika. Mimi namuunga mkono kwa kumtaja hadharani mbaya wake.

Yeye ndie aliemtuma kujihusisha na hiyo Kampuni? Atwambie tu namna gani yeye si fisadi kama hao wengine. Nani mbaya, yule aliyeujuvya umma kuwa fulani ana Kampuni fulani? Mbona ni jambo la kawaida kumiliki kampuni sasa ya nini quilty conscious? Ningeona kuwa jambo la kawaida kama hili angelibrush off lakini kungangania kuwa mtu fulani anakusakama si powa. Kwani mbona kina Kagoda, Mererani na vitega uchumi vyengine vinaanikwa hapa JF, iwe tatizo kwa huyu Mwakyembe?
 
Wakati wapambe wanazidi kutetea mashujaa wao badala ya hoja zao hebu tujikumbushe baadhi ya maazimio ya Kamati Teule ya huyu shujaa wetu, ambayo sijui ameisimamia kwa nguvu kiasi gani Serikali ya chama chake cha CCM (na chama cha "Mchafu" aliyekuwa Mhazini wake/wao) iyatekeleze kwa wakati stahiki, kama yalivyoainishwa katika Ripoti ya utekelezaji aliyoitoa Kiongozi wa shughuli za Serikali ya CCM bungeni mnamo 28 Agosti 2008 bila kubanwa sana na wabunge:

AZIMIO NAMBA 10:
“Gavana wa Benki Kuu pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wachunguze kwa makini uhalali wa malipo ya ziada (US$ 4,865,000) yaliyofanywa kwa Dowans Holdings A.S iliyorithi majukumu ya Richmond Development Company na kuwachukulia hatua waliohusika na uzembe huo.”

HATUA ZILIZOCHUKULIWA:
Wizara ya Fedha na Uchumi na Benki Kuu ya Tanzania wamechunguza na kuona kuwa malipo ya US$ 4,865,000 yaliyolipwa kwa Kampuni ya Dowans Holdings S.A. iliyorithi majukumu ya Richmond Development Company LLC ni halali. Malipo hayo yalilipwa tarehe 2 Februari 2007 ikiwa ni gharama za ndege za usafirishaji wa mitambo ya kukodi ya umeme wa dharura, baada ya kupokea Invoice Na. EFD786675. Uchunguzi unaonyesha kuwa, taratibu zote za malipo zilifuatwa na malipo yalifanywa baada ya kuhakikiwa na TANESCO, Wizara ya Nishati na Madini na HAZINA baada ya kupata ushauri wa Kisheria kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwamba yanawiana na Mkataba husika.

AZIMIO NAMBA 4:
“Serikali itathmini upya uhalali wa kuwepo Mkataba kati ya TANESCO na
Richmond Development Company LLC (sasa Dowans Holdings S.A.) kwa lengo
la kusitisha malipo kwa Dowans Holdings S.A. na kuvunja Mkataba huo
haraka iwezekanavyo.”

HATUA ZILIZOCHUKULIWA:
Kama nilivyoeleza awali, kufuatia utata ulijitokeza kuhusu uhalali wa Mkataba
baina ya TANESCO na RICHMOND uliorithiwa na Dowans, Serikali imesitisha
Mkataba huo kuanzia tarehe 1 Agosti 2008. Vilevile, Serikali imesitisha malipo
yote ya fedha zinazohusiana na Mkataba huo.

AZIMIO NAMBA 11:
“Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya Mwaka 1995 (The Public
Leadership Code of Ethics Act) ifanyiwe marekebisho makubwa ili kudhibiti
utaratibu unaoonekana wa kawaida sasa wa Viongozi Waandamizi wenye
dhamana ya kisiasa kuendelea na biashara zao binafsi wakiwa madarakani,
jambo ambalo lina mgongano wa kimaslahi. Serikali ianze rasmi maandalizi
ya majadiliano ya kina kuhusu suala hili ndani na nje ya Bunge kwa
kuwashirikisha wadau mbalimbali.”

HATUA ZILIZOCHUKULIWA:
(i) Kama alivyoeleza Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
Hotuba yake ya terehe 21 Agosti 2008 wakati akilihutubia Bunge lako
Tukufu kwamba, Serikali inayo dhamira ya dhati ya kuangalia namna ya
kutenganisha shughuli za biashara na uongozi katika Utumishi wa Umma
katika ngazi za juu za Viongozi na Watendaji Waandamizi. Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi wa Umma, imeanza mchakato wa kushughulikia
suala hili na tayari wamewasilisha mapendekezo yao ya awali Serikalini.

(ii) Hivi sasa Serikali imeunda Timu inayojumuisha Wajumbe kutoka
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Ofisi ya Msajili wa Vyama
vya Siasa, Tume ya Uchaguzi, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na
TAKUKURU ili kufanya uchambuzi zaidi wa Mapendekezo hayo. Aidha,
Timu hiyo itafanya uchambuzi wa Sheria za Nchi zilizofanikiwa kuweka
utaratibu wa Viongozi wa Umma kuweza kutenganisha shughuli za
biashara zao na Uongozi ili kuondoa mgongano wa kimaslahi.

(iii) Katika zoezi hili, Wananchi na Wadau mbalimbali watashirikishwa
kikamilifu ili kupata maoni yao.

(iv) Baada ya hatua hizo, Serikali inatarajia kuwasilisha hapa Bungeni
marekebisho ya Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma mwezi Aprili
2009.
 
Last edited:
Lete news mwanawani,lakini Mwakyembe kuwekeza kwenye umeme si tatizo,tatizo ni utapeli katika uwekezaji wa umeme uliofanywa na Richmond na kuridhisha uozo kwa Dowans.Rostam Aziz ni kinara wa utapeli wote katika nchi hii kanzia EPA,Richmond/Dowans na Kagoda na JK anaendelea kumlinda sawa lakini angojee ya Mluzi au Ravalomanana siku moja.
 
Back
Top Bottom