Mkutano wa MBOWE, Lissu, Mnyika na Mdee: Sumbawanga ni Kesho tarehe 21/08/2013

fukujima

Senior Member
Apr 19, 2013
109
36
Mkutano wa Maoni ya Katiba Sumbawanga Utakaoendeshwa na Mh. Mbowe, Mh, Lissu, Mh. Mnyika na Mh. Mdee utafanyika kesho saa 8 mchana katika viwanja vya Shule ya Msingi Kizwite na Ndua. Mkutano huu ulitarajiwa kufanyika Leo lakini kwa taarifa zilizotufikia Utafanyika Kesho.
 
katika Viwanja vya shule ya Msingi Kizwite\Ndua majira ya saa 11:37 siku ya Juma tano tarehe 21\8\2013 walivyofika na kuendesha baraza la katiba la Chadema kwa Hoja.
 

Attachments

  • people 1.JPG
    people 1.JPG
    341.4 KB · Views: 83
  • people2.jpg
    people2.jpg
    297.7 KB · Views: 85
  • people 3.jpg
    people 3.jpg
    338.4 KB · Views: 83
Back
Top Bottom