Mkutano wa makamu wa rais Geita aibu tupu

Kama kuna sehemu ufisadi umewafanya wananchi wawe masikini zaidi basi ni Geita, madini yanachimbwa hapo lakini mwananchi wa kawaida ni balaa kwa kutofaidi lolote. So watu wako busy na kupambana na maisha na si mkusikiliza huyu jamaa anyezurura na wakeze tu kutanua!
 
ndugu yangu hemed suya, uwanja wa magereza ndo maeneo yao watoto wa shule?
all in all, watu wamebadilika sana these days. huwadanganyi kirahisi, hawana matumaini na vigogo wa chama tawala.
 
Makamu wa rais leo alikuwa na mkutano wa hadhara mjini Geita katika viwanja vya mgaereza leo jioni,cha kusikitisha amejikuta akiwahutubia wanafunzi wa secondary waliosombwa kwa magari na watoto wadogo na baadhi ya wana CCM wasiofika hata mia,wanajamvi hii anamaanisha nini kwa uhai wa CCM? Nawasilisha.

Mbona hayo tumeyazoea, halafu watoto wakipata div 4 na 0 wanashangaa! Kwa nini wanafunzi wasikae madarasani wasome badala ya kuwafurahisha wanasiasa wa ccm?
 
Hapo bado mbona.....hizo flana zao za bure watavaa wenyewe...kila mtu sasa hivi ana akili timamu na sio hao mafisadi papa wasiokuwa na mpango wowote.....
 
Mbona hayo tumeyazoea, halafu watoto wakipata div 4 na 0 wanashangaa! Kwa nini wanafunzi wasikae madarasani wasome badala ya kuwafurahisha wanasiasa wa ccm?

Unadhani tuna viongozi hapa???hao viongozi wenyewe uchwara tu....hata kufikiria kuhusu hawa vijana wetu inabidi huo muda wawe class lakini hata hawakufikiria kabisa na ndio kwanza wameenda kuwachukua....
 
kufungua maabara ilikuwa ni mojawapo ya shughuli zake baada ya hapo ndo akaelekea uwanja wa magereza kwa mkutano
 
Makamu wa rais leo alikuwa na mkutano wa hadhara mjini Geita katika viwanja vya mgaereza leo jioni,cha kusikitisha amejikuta akiwahutubia wanafunzi wa secondary waliosombwa kwa magari na watoto wadogo na baadhi ya wana CCM wasiofika hata mia,wanajamvi hii anamaanisha nini kwa uhai wa CCM? Nawasilisha.

Ampelekee salam mkubwa wake JK, mambo ndiyo yamefika hapo wananchi hawana hamu na mafisadi wa CCM na genge lao la wahuni.
 
Makamu wa rais leo alikuwa na mkutano wa hadhara mjini Geita katika viwanja vya mgaereza leo jioni,cha kusikitisha amejikuta akiwahutubia wanafunzi wa secondary waliosombwa kwa magari na watoto wadogo na baadhi ya wana CCM wasiofika hata mia,wanajamvi hii anamaanisha nini kwa uhai wa CCM? Nawasilisha.

Maana yake CCm is more at death than KANU
 
That's the problem people used 2 attend CCM Meetings and greeted W T-Shirts, Khanga's together with brand name artists...
 
Bora angeenda Dr Ali Mohamed Shein kuliko huyo mwanaharakati wa udini nchini.

Laiti vitabu vyake vya nyuklia bado anakumbukumbu na kurasa zake basi bora tungemfanya donation kwenda Japan kuoko uhai kule kuliko kujikita katika siasa ambako analazimika kutumia hadi kiasi cha asilimia - 42% anapozunguka huko mikoani kwa kodi zetu.
 
JF Kanda ya Ziwa hebu tuwekee picha hapa za mikutano ya hilo jamaa huko tuone wananchi watakavyokua wamesafirishwa toka mikoa ya mbali kuja kupendezesha mikutano ya CCM.
 
Back
Top Bottom