Mkutano wa madaktari NSSF Water Front

kama kikwete amezoea kucheza ngoma za ki.kwere tuone kama ataweza kuicheza ngoma ya madaktari mpaka j'tano ijayo. ..halafu dah hivi bado kuna baadhi ya madaktari wanatakiwa kuripoti polisi wakati pinda mwenyewe alisema huo utaratibu usiendelee...!
 
naona trela ya movie ndo inaisha na movie yenyewe ndo inaanza.
Ngoja niongeze soda na popcorn nikae vema kwenye sikirini yangu.....
 
kama kikwete amezoea kucheza ngoma za ki.kwere tuone kama ataweza kuicheza ngoma ya madaktari mpaka j'tano ijayo. ..halafu dah hivi bado kuna baadhi ya madaktari wanatakiwa kuripoti polisi wakati pinda mwenyewe alisema huo utaratibu usiendelee...!

aweze wapi kuicheza ngoma ya madaktari si atavunjika kiuno huyo....
 
na yale mengine je?

Kwa ufupi madaktari wanasema hawa wakiondoka wapo tayari kuendelea na kazi nawanajua madi mengine yanaweza kushughulikiwa kwa utaratibu. Hawa sio watu wakukurupuka serikali inaonyesha kuna watu wanapotosha sana ofisi ya waziri mkuu kuna mtu ametajwa anapotosha mambo sana nitamweka jina lake hadharani nitakapopata taarifa zake vizuri.
 
Hapo Kikwete anafanya tathimini ya thamani ya Waziri mmoja kwa raia wa kawaida watakaokufa!!
INASIKITISHA SANA RAIS TOPE!!
 
siumeona Vimon katoweka?analea ubabaishaji tuu wajameni,i dare to say Vimon ni mpayukaji bana,hana jipya,madokta wote are happy now system in Action,na kama mtamwona Vimon tena,

wewe sio bure unalako jambo na hakuna uliyempata tumeshakushtukia ni mshenzi tu weweeeee
 
Kwa ufupi madaktari wanasema hawa wakiondoka wapo tayari kuendelea na kazi nawanajua madi mengine yanaweza kushughulikiwa kwa utaratibu. Hawa sio watu wakukurupuka serikali inaonyesha kuna watu wanapotosha sana ofisi ya waziri mkuu kuna mtu ametajwa anapotosha mambo sana nitamweka jina lake hadharani nitakapopata taarifa zake vizuri.

nimekupata mkuu, namsubiri huyo muhujumu!
 
ushauri wa bure kwa wadau kama unashida na hospitali ikifika jumatatu hata kama watakuwa kazini hapa inaonekana moyo wa kufanyakazi nhautakuwepo nashauri wale msio weza kwenda india mtafute njia mbadala hali ni tete

balaa laja!
 
Lete habari wewe,closed meeting!Watu(madaktari namanesi-waliotoa huduma nashughuli mbalimbali zadharua kwasiku kumi na mbili) wanadai hela yao yamiaka hamsini ya uhuru hadi leo hawajapewa!Wakati wizara nyingine hatusikii malalamiko.
 
Nimekuwa mhanga tayari. Nilikuwa hospitali moja hapa mjini namsubiri Dr. tukaambiwa anakuja saa nane tumekaa kuanzia saa sita kufika saa nane na dkk 45 jamaa anatuma msg kwamba haji ana dharura. Kwa kuwa ni physician wa Muhimbili nikajua jamaa anaendelea na mkutano! Nimejifuta makalio naenda kumeza panadol na muarobaini nisubirie rehema za maulana!

Mkuu usikte tamaa, bado watalamu wetu wa asili wanaendeleza libeneke, NDONDI, Prof. deepwater, etc. lol. Pole sana mkuu, Mungu akujalie maumivu yapoe ili tuendeleze mapambano. Mpaka kieleweke.
 
Mkuu Mzalendo na MKuu Handsome ni vyema mkatoa maoni yenu bila matusi. Kajukwaa ketu haka ni kazuri kanatakiwa kaheshimiwe kwa hoja. Mkuu Mzalendo tuwe tunakumbuka kwamba JK ni Rais na Amiri Jeshi MKuu wa Majeshi yenye silaha hivyo ni vyema akaendelea kuheshimiwa hata kama humkubali. Ni hayo tu.
 
Umesema vyema mkuu madaktari hawataki siasa wala hawapo kwa ajili ya kumtukana kiongozi yeyote wa serikali,sas kuna watu wanaleta matusi ambayo yataharibu maana kuu ya huu mjadala
 
Nimekuwa mhanga tayari. Nilikuwa hospitali moja hapa mjini namsubiri Dr. tukaambiwa anakuja saa nane tumekaa kuanzia saa sita kufika saa nane na dkk 45 jamaa anatuma msg kwamba haji ana dharura. Kwa kuwa ni physician wa Muhimbili nikajua jamaa anaendelea na mkutano! Nimejifuta makalio naenda kumeza panadol na muarobaini nisubirie rehema za maulana!

Kimbunga unahitaji maombi ya kufunga na kuomba..una matatizo makubwa sana.
 
Confirmed! Radio 1 wameitoa kama Breaking news muda mfupi uliopita.

quote_icon.png
By vimon
Wadau mkutano unafugwa na madktari wanakubaliana mpaka jumatano Bwana Mponda na Lucy kama hawatakuwa wameachia nyadhifa zao pale wizara ya afya,kutakuwa na mgomo mkubwa kuliko ile iliyowahi kutokea kwenye historia ya Tanzania. Wameipa serikali muda,navyojuwa JK atafanya mzaha sasa subirini jumatano muone moto wake.
 
Mkuu Mzalendo na MKuu Handsome ni vyema mkatoa maoni yenu bila matusi. Kajukwaa ketu haka ni kazuri kanatakiwa kaheshimiwe kwa hoja. Mkuu Mzalendo tuwe tunakumbuka kwamba JK ni Rais na Amiri Jeshi MKuu wa Majeshi yenye silaha hivyo ni vyema akaendelea kuheshimiwa hata kama humkubali. Ni hayo tu.

Mkuu kimbunga pole kwa matatizo yanayokusibu...kuongea ukweli ni matusi?
 
Back
Top Bottom