ushauri wa bure kwa wadau kama unashida na hospitali ikifika jumatatu hata kama watakuwa kazini hapa inaonekana moyo wa kufanyakazi nhautakuwepo nashauri wale msio weza kwenda india mtafute njia mbadala hali ni tete
Mkuu tupe habariKwa mbali naona hili linalokuja limesukwa kwa utaalamu wa hali ya juu.. i have a strong evidence from doctors, stay tuned
usiogope mkuu ,intelectuals at work...kila kitu kitakuwa wazi mkuu ndiyo utakapojionea kuwa daktari ni mkuu wa wakuu.Kuna kitu kitaua solidarity kwa DR's wa ukweli,kuna mamruki wamepandikizwa ambao watakuja na hoja kuwa JK ameshasema kwenye hotuba yake kuwa tuwape mda watashugurikia madai yao,,,msipokomaaa mtatoana kafara so watch out brother and sisters(DONT GIVE UP)
mbona rong infomation???am inside but Vimon aaripot nonsense,siriaz,
Wadau mkutano unafugwa na madktari wanakubaliana mpaka jumatano Bwana Mponda na Lucy kama hawatakuwa wameachia nyadhifa zao pale wizara ya afya,kutakuwa na mgomo mkubwa kuliko ile iliyowahi kutokea kwenye historia ya Tanzania. Wameipa serikali muda,navyojuwa JK atafanya mzaha sasa subirini jumatano muone moto wake.

wadau mkutano unafugwa na madktari wanakubaliana mpaka jumatano bwana mponda na lucy kama hawatakuwa wameachia nyadhifa zao pale wizara ya afya,kutakuwa na mgomo mkubwa kuliko ile iliyowahi kutokea kwenye historia ya tanzania. Wameipa serikali muda,navyojuwa jk atafanya mzaha sasa subirini jumatano muone moto wake.
mzalendo epuka kuropoka,uajua maana ya fisadi papa,think twice,u are provokng for whom benefit????umetumwa,Nyau wee,ref.Misri,Libya was it an easly Taskieee??with absence of NATO milion kuld die yet wangekuwa on power,do u kow relationship kati ya TZ na USA??Europian Union?Far East?acha upororo wewe
swali lingekua hivi JK anasubiri nini kuwaondoa??Hivi Mponda na Nnkya wanasubiri nini kujiuzulu? Kikwete anasubiri nini kuwatimua? Wanasubiri wafe Watanzania wangapi ndipo wachukue hatua?