Mkutano wa madaktari- agenda za kujadili

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Kutakuwawapo na mkutano wa madatari wote jijini Dar es salaam
Agenda

1. Hatma ya madaktari 319 waliosimamishiwa leseni

2. kuandaa maandamano makubwa

3. Afya ya Dk- ulimboka ; tumeshatumia $ 85,000 sawa na (136,000,000 MILLIONI) zinahitajika $ 15,000


n.k ONGEZA
 
Kudumisha mshikamano baina yenu, msitishwe na kusalitiana. "Umoja ni NGUVU"
 
Msigawanyike wakuu pambaneni ili ili fani yenu isifananishwe na viti vya udiwani ambao kuvuliwa na kurudishiwa ni jambo la kawaida
 
Kila la kheri, mkutano wenu ni vyema mje na azimio thabiti la sivyo maisha yatakuwa magumu upande wenu
 
Haya nawashauri mpitie kibali POLISI maana zaidi ya hapo, TUNAWAPENDENI SANA
 
Ajenda zote ziko centred kwenye self interest nilitarajia nione ajenda ya mustakabali wa huduma za afya baada ya serikaili kukataa matakwa ya kuboresha mazingira ya kazi. Si ndio hoja mliyoishikia bango?

Inaonekana mnajadili yenu tu.Kumbukeni pia roho za watu zilizopotea kwa ajili ya kugoma kweni,msimamo wenyewe hamna mnapigwa mkwara kidogo mmnywea,sitegemei jipya hapo.

Ulimboka mwenyewe akirudi solidarity aliyoiacha ishakufa.
 
Ajenda zote ziko centred kwenye self interest nilitarajia nione ajenda ya mustakabali wa huduma za afya baada ya serikaili kukataa matakwa ya kuboresha mazingira ya kazi. si ndio hoja mliyoishikia bango?
Inaonekana mnajadili yenu tu.Kumbukeni pia roho za watu zilizopotea kwa ajili ya kugoma kweni,msimamo wenyewe hamna mnapigwa mkwara kidogo mmnywea,sitegemei jipya hapo.Ulimboka mwenyewe akirudi solidarity aliyoiacha ishakufa.

Mkuu hayo c yalishaongelewa na madaktari wakagoma then Serikali sikivu haikusikia. Sasa mfumo unaokuja na wa maandamano na sie waathirika wa mgomo wa madaktari hatutakua nyuma ili kushinikiza serikali iyatatue matatizo sie tupate huduma. Ova
 
Tunawapenda tutawaunga mkono, nyie bado vijana msibabaishwe na watu dhaifu , the sky is the limit kwani wakikunyima usajili wameondoa taaluma yenu kichwani, Chukua hatua ya kuangalia mbele ajira sio Tanzania pekee , kuna opportunities nyingi South Sudan msibweteke. Tuandikie namba ya m-pesa tumchangie mpambanaji Ulimboka
 
Wishing uou all the best in your meeting.
I hope good newz will apper before us.
Solidarity forever you guyz.
Yani hadi hapa serikali imeshadata to the maximam kinacjotakiwa ni ninyi tu kumalizia jamani
Nngekuwa na uwezo nngeamuru watanzania wote wasipatwe na maradhi yoyote katila kipindi hiki.
Nawakilisha wana JF.
 
MASS RESIGNATION, let me die yet my brother live with no fear!

Endeleeni kujidanganya, DR. ..... jana alikuja kuniomba hela ya mafuta ya gari lake lakini toka awaali nilimkanya awe mbali na migomo isiyo na msingi imara, haya na hiyo ni introduction tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Endeleeni kudanganyana hapa jamvini story tuu lakini kila mtu msosi kwake
 
Endeleeni kujidanganya, DR. ..... jana alikuja kuniomba hela ya mafuta ya gari lake lakini toka awaali nilimkanya awe mbali na migomo isiyo na msingi imara, haya na hiyo ni introduction tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Endeleeni kudanganyana hapa jamvini story tuu lakini kila mtu msosi kwake

Revolution will never be ruined, we mwenyewe hata kazi huna utamsaidia nani?
 
Madaktari wakiitwa wadau wa Mapinduzi 2015, kama wameingia ktk siasa waseme tujue.
 
Back
Top Bottom