mwankuga
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 334
- 120
Wadau napenda kuwatangazia wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake kuwa kesho tarehe 13/04/2011 kutakuwa na mkutano wa kukusanya maoni kuhusu mswada wa kubadilisha katiba,utafanyika katika ukumbi wa Mkapa kuanzia saa 4:00 asubuhi.Wote mnakaribishwa bila kujali itikadi zenu.Asanteni.