Mkutano wa kampeni CCM Arumeru wakosa watu jana

Ni kazi ngumu mno kwa ccm kwani magamba yao yameshindikana kuvulika na kinachofuata ni kutoga masikio tu kama mashoga wa USA. So ukimuchagua mtu kama siyoi kurithi jimbo ni kurudi enzi, basi tuanzishe utawala wa kimira ili twende sawa. Si tu kwa mkutano wa Arumeru hata ukiona kwenye ziara za viongozi wao ni wanafunzi tu wa sec. na shule za msingi ndo hulazimishwa kuhudhuria mihadhara yao so kwa arumeru ni matokeo yaleyale...Na kazi yao kubwa ni matusi na vijembe ebu ushuhudie ufunguzi wao kutoka kwa Raisi eti msitafu bwana Ben na mzee wao wa miaka stev. Wasila ni Wazee wazima lakini wana akili na mawazo mfu kwa kupenda kutukana na kuingilia familia za watu badala ya kunadi sera. Wanashangaza sana hao wazee. Ebu wafundisheni adabu hao wazee.La sivyo watazidi kupoteza wanachama.
 
Upepo wa kisiasa unaelekea kukiendea kombo chama cha CCM kwani kwa taarifa nilizopata kwa mmoja wa washiriki kwamba mkutano uliofanyika jana kata ya Kikatiti ulikosa watu sana sana wanafunzi wa shule tu. Hali hiyo inasemekana kufanana na ilivyotokea kata ya Songoro alikotokea Nassari kwani walikosa watu kiasi cha kuahirisha mkutano.Hali hii ilisabisha makada wa CCM kukasirika na kuporomosha matusi.

Kama kuna mwenye taarifa zaidi atujuze.

Unatoa taarifa halafu unaomba kujuzwa, inamaana huna uhakika na ulichkokiandika. Majungu hayo,tusubiri siku ya kura tutapata ukweli.
 
Upepo wa kisiasa unaelekea kukiendea kombo chama cha CCM kwani kwa taarifa nilizopata kwa mmoja wa washiriki kwamba mkutano uliofanyika jana kata ya Kikatiti ulikosa watu sana sana wanafunzi wa shule tu. Hali hiyo inasemekana kufanana na ilivyotokea kata ya Songoro alikotokea Nassari kwani walikosa watu kiasi cha kuahirisha mkutano.Hali hii ilisabisha makada wa CCM kukasirika na kuporomosha matusi.

Kama kuna mwenye taarifa zaidi atujuze.

Poli nilikuwepo walikosa watu pia, walikuja watu saba tu, wakaishia kutukana, Ngyani walihudhuria mabalozi 6 tu. hali ni mbaya sana kwa CCM wakuu. mimi natokea hili jimbo na nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana.
 
417258_310566355674020_100001619734978_857598_1958970821_n.jpg

Mwigulu Nchemba

Acha uwongo, hii ni picha ya uzinduzi wa kampeni Usa wakati ccm ilipoleta watu kwa mabasi na malori, mwisho mkutano uliondoka zaidi ya theluthi mbili wakizomea baada ya Sioy kusimama na kuanza kusema mkoa wa Arumeru. Zaidi ya theluthi mbili ya huo mkutano mnaouona hapo walikuja kuona Ze komed na wengine ni mamluki. Hii picha ilipigwa mwanzo kabisa
 
Wamekosa watu wanatukana,Nassari alivyokosa watu aliongea na hao hao waliopo tena kwa ustaarabu,kwa kujiamini na kwa adabu.
Hapo ndo ujue sasa anaepaswa kunyakua arumeru ni nani,
 
Huku ccm maji ya shingo maana kwenye mikutano yao watu manakwenda kuangalia show ya TOT tu hasa watu wanataka kuona akina khadija kopa na wanamuziki wa TOT Plus.Kuna mbinu nyingine wamianza kuna wabunge wa ccm na madiwani wao wanatembea usiku kama wachawi nyumba hadi nyumba mpaka watu wanazani majambazi pia wanawadanganya na kuwapa pesa wenye Boda,Tax Driver, wanapita vilabu vya pombe za kienyeji wanawanunulia pombe kweli hawa ccm wanamiela utafikiri wezi maana hizo pesa hazina oditing wana mtindo mwingine wanachukua bendera za Chadema usiku na kuzivaa na vijana waliowanunua na kuanza kuchukua bendera zao wenyewe ili waseme hao ni chadema hiyo isse tumeibumburukia.Wito kwa watu wote wa Arumeru Mashariki pokeeni hizo pesa kwani pesa hizo ni haki yenu amezichukua hazina zingetumika kwenye Hospitali na mashule wao wanazigawe mtaani.
 
Ukisoma sura za watu hawa utagundua kuwa wako makini wakichuja maneno na vitendo vya viongozi wa CDM, kama kuna jipya au ni yale yale ya kuisema CCM wanaacha kujisimamia wenyewe, Kiukwel hawa ni washabiki lakini si wapiga kura wa CDM pekee.

Ni kweli. Mpiga kura makini lazima asikilize sera na si kwenda kwa ushabiki tu.
 
Acha uwongo, hii ni picha ya uzinduzi wa kampeni Usa wakati ccm ilipoleta watu kwa mabasi na malori, mwisho mkutano uliondoka zaidi ya theluthi mbili wakizomea baada ya Sioy kusimama na kuanza kusema mkoa wa Arumeru. Zaidi ya theluthi mbili ya huo mkutano mnaouona hapo walikuja kuona Ze komed na wengine ni mamluki. Hii picha ilipigwa mwanzo kabisa

kweli walikuwa wengi lakini waliletwa na mabasi wengi walitoka monduli moshi hao kwakweli waliletwa na magari mimi nilikuwepo pia angalia kule kwenye nyumba mbali wale wote ni CHADEMA nilifurahi mkapa alikuwa anawatania chadema akisema awa wanaosema peopleeeeeee karibu uwanja mzima wakajibu Power mkapa alishanga kuona hawa watu wengine si wakwetu.
 
Back
Top Bottom