Elections 2010 Mkutano wa dr w slaa arusha

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,921
31,154
Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.

Dr W Slaa ataambatana na makamanda wafuatao Mabere Marando,Mzee Ndesamburo,F Mbowe na mgombea ubunge Arusha mjini Bwana G Lema.

Tafadhali sana tuhudhuria mkutano wa Dr W Slaa.
Angalizo hakutakuwa na magari ya kusomba watu kama ilivyokuwa mkutano wa jana wa CCM.
 
Unasema kweli? Kijenge kuna uwanja gani? Kwa nini haikupangwa NMC. Basi barabara ya Moshono haitapitika.

Kila la kheri!
 
Heshima kwako Wambugani,

Mkuu nadhani CHADEMA wamelenga Kijenge kwasababu mgombea udiwani wa eneo hilo Bwana Mallah ana nguvu sana kuna uwezekano mkubwa kushinda na atimaye kuwa meya wa jiji la Arusha pia Mbauda wanalenga Kata ya sombetini,Elerai na Sokoni 1 zenye wapiga kura wengi kuliko kata zingine.kata nilizozitaja ni ngome ya mgombea wa TLP.Bwana Godbless Lema anapata shida sana kupenya kwenye hizi kata kwasababu ya ushiriki wake wa kumpigia debe diwani wa CCM Bwana Mawazo.
 
Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.

Dr W Slaa ataambatana na makamanda wafuatao Mabere Marando,Mzee Ndesamburo,F Mbowe na mgombea ubunge Arusha mjini Bwana G Lema.

Tafadhali sana tuhudhuria mkutano wa Dr W Slaa.
Angalizo hakutakuwa na magari ya kusomba watu kama ilivyokuwa mkutano wa jana wa CCM.
Nitakuwepo!...lakini pia nitawahi sana kuwasili!

Mkuu Ngongo,
Kama uko kama hivyo unavyoonekana kwenye avetari, basi nitakujua kirahisi!

Respect!
 
Heshima kwako PakaJimmy,

Mkuu nitakuwepo Mbauda, saa tisa nitakuwa naangalia kandanda unajua mimi ni mnazi wa ligi ya UK.Ahaa mkuu niko hivyo hivyo usisahau kuangalia mkongojo.
 
Wakuu sijui ni hujuma au nini !.Kesho kuanzia saa tatu asubuhi kutakuwa na tamasha kubwa la nyimbo za Injili litafanyika kwenye viwanja vya shule ya Arushameru Sec.Najiuliza maswali kibao sipati majibu kwanini tamasha lifanyike muda sawa sawa au kukariabiana muda wa mkutano wa CHADEMA.Ni mtazamo tu.
 
kwani chadema nao huwa wanasomba watu km ccm?.....hiyo nilikuwa bado sijaisikia
Wakuu kesho Dr W Slaa atakuwa na mikutano miwili jijini Arusha.Mkutano wa kwanza utaanza saa nne asubuhi Mbauda sokoni na mwingine utafanyika saa tisa Kijenge.

Dr W Slaa ataambatana na makamanda wafuatao Mabere Marando,Mzee Ndesamburo,F Mbowe na mgombea ubunge Arusha mjini Bwana G Lema.

Tafadhali sana tuhudhuria mkutano wa Dr W Slaa.
Angalizo hakutakuwa na magari ya kusomba watu kama ilivyokuwa mkutano wa jana wa CCM.
 
You mean kesho ya tarehe 18 sept au?
Si ata JK yuko pande za uko?au nachanganya manake kuna thread inasema JK kuteta na Lowasa
 
Kesho ndiyo...yaani tarehe 18-09-2010 saa nne asubuhi Mabauda sokoni na saa tisa Kijenge...
 
You mean kesho ya tarehe 18 sept au?
Si ata JK yuko pande za uko?au nachanganya manake kuna thread inasema JK kuteta na Lowasa
Heshima kwako Njowepo,

Mkuu Arusha kubwa Muungwana yuko Monduli leo mkutano wa CHADEMA utakuwa kesho tarehe 18/09/2010.
 
Wakuu natumaini mtakuwa mnaelekea kwenye mkutano wa Dr W Slaa utakaofanyika Mbauda kuanzia saa 4 asubuhi na baadae saa 9 Kijenge.
 
mkutano umemalizika huku mbauda na watu walikuwa wamejaa sana na hawakukodishwa kama ccm wanavyo fanya...
 
dr alisema atashusha bei ya bati mpaka 5000, ilikuhakikisha watanzania wote wanaishi nyumba za bati
 
Attachments

  • IMG_0823.JPG
    IMG_0823.JPG
    792.4 KB · Views: 248
Watanzania wajulishwe janja ya CCM kukodi na kukusanya watu kwa Magari kutoka sehemu mbalimbali kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Kikwete. Hiyo mbinu chafu inawahadaa wananchi ili wakate tamaa kwamba mabadiliko yanawezekana. Huko Mpanda walikusanya mpaka wakimbizi wa Rwanda na Burundi. Tusaidiane kwenye hili!.
 
akutumia muda pia kumjibu sita kuwa hawezi kufanya mdahalo na yeye (dr slaa) maana siyo size yake...akafanye mdahalo na wagombea ubunge wa chadema....ila akataka ajibu maswali haya kwanza: alitumia mil 150 ya serikali kununua furniture za ofisi ya bunge huko kwao na akahoji ni kigezo gani alikitumia kuamru ijengwe ofisi za mbunge huko kwao nilini ulisikia kuna kikao cha bunge huko tabora
 
Wakuu sijui ni hujuma au nini !.Kesho kuanzia saa tatu asubuhi kutakuwa na tamasha kubwa la nyimbo za Injili litafanyika kwenye viwanja vya shule ya Arushameru Sec.Najiuliza maswali kibao sipati majibu kwanini tamasha lifanyike muda sawa sawa au kukariabiana muda wa mkutano wa CHADEMA.Ni mtazamo tu.
ndugu Ngongo hali ya ccm ni mbaya sana hivyo wanatumia njia yoyote kuvuruga mikutano lakini kwa umati niliouona CCM inangoka...siyo tamasha hilo tu hata pale Shikh Amria beid napo kuna tamasha sijaua ni la nini...
 
Back
Top Bottom