Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Kama tulivyokuwa pale mambo ya ndani juzi ijumaa na leo tupo hapa jangwani,Hakiiiiiiii

mpinzani wa cuf ni chadema
 
Kambaya ndie anazungumza kwa sasa. Anasema CUF ndio waanzilishi wa viwanja wa Jangwani. Anadai CHADEMA wamepageuza kwa kupaita Chadema Square
 
Anasema CDM kwa kushirikiana na CCM wametumia vyombo vya habari kuwa CUF ni CCM B
 
kuna mgombea anasisitiza udini bila kujijua kwa kutumia kauli ile ile watumiayo wanaompinga Nyerere kwa kutumia dini kuwa ndio iligombea uhuru.Kaanza lilia haki ya kuutumia viwanja vya Jangwani.Anaonekana kujiingiza katika malumbano ya nani kapigania uhuru.

Anashambulia CDM na CCM kuzuga.Anataka dai wanaopokea ruzuku ndio CCM B.
 
Kama Cuf ni CCM B mbona hawapewi misaada na kada wa CCM kama ambayo chadema inapewa misaada na Sabodo
 
Anazungumzia swala la mboe kumiliki disko,,anasema chadema kina mausiano na ccm
 
Mpango maalum wa CCM kudhibiti M4C, CUF ni nyumba ndogo ya CCM. Nashangaa sana kuona Profesa Lipumba na elimu yake kutegwa na mtu wenye Bull S**t (BS) ya Siasa ya Ukada maalum kwa kueneza propaganda Jeshini. Mh ****** ni MAFIA na anaendesha siasa za kijasusi. CUF wametegwa, wakategeka na sasa wanacheza ngoma za KIKWERE
 
Sasa ni mwendo wa kuinga chadema kwa kwenda mbele, anasema chadema ni chama yenye mwenyekiti muhuni na mpiga Disco
 
Anadai kuwa CHADEMA ilimfuata Kikwete 2005 agombee kupitia CHADEMA endapo asingepitishwa na CCM
 
Lengo la mkutano huu ni nini maana nasikia wakisema CDM ndio CCM B kwa kuwa kinapata msaada toka kwa Sabodo pia amezungumza issue za Mbowe badala ya operation mchakamchaka
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom