Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Anasema wamejipanda kuondoa CCM madarakani na wenzao wa vidole Viwili ambao majuzi wametuhumiwa kula rushwa bungeni
 
Ni zamu ya jumwiia ya kinamama kuongea kauli mbiu vua gamba na gwanda vaa uzalendo prof lipumba 2takupeleka ikulu kwa mchakamchaka chinja
 
Huo ni mkutano wa dini ama wakisiasa?

mkuu uwezi amini wakati mchungaji wa dini ya kikristo anasali watu walikuwa wakicheka sana na kupiga kelele hasa pale mchungaji alipo sema kwajina la baba na lamwana,, imeniuma sana
 
Hutuba zinaonyesha jinsi CUF hawajatulia bado.wanaonekana kuwa feki katik kila kitu.Hadi hapa Wamecopy vitu vingi vya CDM na CCM tena katik wong way.
 
Anayekuja sasa ni mzee wa mfumo anajongea stejini mzee abduli kamanda wa mfumo
 
mkuu uwezi amini wakati mchungaji wa dini ya kikristo anasali watu walikuwa wakicheka sana na kupiga kelele hasa pale mchungaji alipo sema kwajina la baba na lamwana,, imeniuma sana

Hivi ni kwanini kwenye mikutano ya siasa watu wanasali then kwenye sensa wanagoma kuweka kale kakipengele? Ngoja wazomewe
 
Anazungumzia kitendo cha chadema kupabadilisha jina jangwani na kupaita chadema sqadi
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom