Mkutano Wa chadema wazuiliwa Kibondo mkoani Kigoma

Tafadhali

Member
Jul 23, 2011
51
2
Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe na mbunge Wa vitimaalum mkoani humo ,miongoni maw sababu ya kuzuwiliwa ni kwamba kuna ziara ya Naibu waziri hivyo ungeweza ku intervene ,
Nawasilisha
 
Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe na mbunge Wa vitimaalum mkoani humo ,miongoni maw sababu ya kuzuwiliwa ni kwamba kuna ziara ya Naibu waziri hivyo ungeweza ku intervene ,
Nawasilisha

sijui kama huyo waziri atapona kuzomewa, yaani awakatishe watu uhondo wa pipoooooooooz
Mtaniambia!
 
Mungu yupo pamoja nasi, inafika wakati huwezi kuzuia upepo wa kimbunga... Polisi-ccm, Mkuu wa wilaya-ccm, DED-ccm, Lakini Chadema ina MUNGU, Tutaishinda tu hii vita....
 
Sasa Mi ninawachoka hawa mafisadi

Na ni dhahiri sasa ya kwamba Kheri ugonjwa wa ukoma kuliko uwongozi uliko madarakani.

Ila watabana na wataachia hakika!
 
Acheni fujo wajameni,

Heshimuni mamlaka

kwani hamuwezi kusogeza mbele mkafanya siku nyingine?
 
Hapa wanajamvi ukweli ni kwamba hakuna ziara ya Naibu waziri hapa Kibondo. Mimi niko Kibondo na naibu waziri aliyeko mkoani hapa ni Philip Mulugo wa Elimu na kazi iliyomleta kamaliza mkoani kwa aliyefuatilia habari za saa mchana wa leo ITV atakuwa anajua kilichowapata wakuu wa shule za sekondari kumi Kigoma manispaa. Walichokifanya jeshi la polisi wilayani hapa kinamithilishwa na harakati za pimbi. Hakika hawataweza kuzima m4c iliyoanza. Dodoma CCMapema wamecomedisha kidogo ati wakasongamana wakidhani wanaandamana. POLE KWAO KWANI WAKATI UMEWAACHA MBALI MNO.
 
Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe na mbunge Wa vitimaalum mkoani humo ,miongoni maw sababu ya kuzuwiliwa ni kwamba kuna ziara ya Naibu waziri hivyo ungeweza ku intervene ,
Nawasilisha
Ha! kumbe naibu waziri aweza zuia shughuli za kiraia?
 
Kuzima moto uliwashwa na chadema kunahitaji uwe na pumzi ya ziada wakati wa kupuliza.
 
Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe na mbunge Wa vitimaalum mkoani humo ,miongoni maw sababu ya kuzuwiliwa ni kwamba kuna ziara ya Naibu waziri hivyo ungeweza ku intervene ,
Nawasilisha

Nakubaliana kabisa na uamuzi wa kuzuia mkutano huo na mingine isiyo na tija itakayofuata. tuache wananchi wetu wafanye kazi wajiletee maendeleo na siyo kuwapotezea muda kwenye mikutano na maandamano yasiyo na mwisho. Huku mnasema ubunge wa viti maalumu hauna maana ufutwe then hapo hapo mnataka wananchi wakahutubiwe na mbunge wa viti maalumu this is double standard, isn't it?
 
mi nipo nje ya mtoa mada ila cjafahamu kuhusu waziri asiye na wizara maaalum marko mwando! na maswala ya mtandao ukichanganya na historia ya hwa mabwan wawili mi nafikir huyu mtu anaaandaliwa kuwa mkuu wa pango la wanyanganyi 2015
 
Back
Top Bottom