Mkutano wa CHADEMA Moivaro

EBENEZA MT

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
264
50
Mhe. Mbowe anasema wana ccm wanahitaji maombi badala kumwaga sera wanamwaga matusi.
 
... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ni kwa CHADEMA, je ni nani tena wa kutuzuia?????????????

Wazee maarufu ndani ya Chama cha Mapinduzi, Dr Hassy Kitine,Mzee Ibrahim Kaduma na Mzee Joseph Butiku wametoa ya mwaka walipokuwa wakihojiwa katika luninga Channel 10, jumamosi.
Habari hii imejirudia katika gazeti la Mwananchi leo(Machi ,26, 2012) ikisema:

"Na Elias Msuya,

Makada watatu wakongwe wa Chama cha Mapinduzi( CCM), Ibrahim Kaduma,Dk Hassy Kitine na Joseph Butiku wameibuka na kukutabiria anguko chama hicho tawala kwa kile walichosema, kwenda kinyume na misingi ya kuasisiwa kwake.

Kauili za makada hao maarufu, zinakuja kipindi ambacho upepo wa kisiasa umekuwa ukivuma vibaya ndani ya chama hicho kikongwe nchini na barani Afrika, kutokana na vita ya makundi kati ya watuhumiwa wa ufisadi na wale wanaojipambanua kwamba ni wazalendo na wapinga."


Maoni Yangu:
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu!
 
Mbowe anasema jumapili kuamkia j,tatu kutakuwa na mkesha wa kulinda kura usa river kwa mkurungenzi mpaka matokeo yatangazwe.
 
Nassari ni Musa wetu wamesema vijana wa kimasai wa tandabobo wamemkabidhi fimbo ili awaongoze
 
Magamba hawana pa kupumulia.. wasubiri matokeo na wajiandae kujuta kwa gharama walizotumia..
 
Mkutano wa 10 na wa mwisho kwa leo utakuwa maji ya chai ni full dose.
 
Mkutano hapa moivaro umeisha dk 40 iliyopita,chopa imeotuonesha show,wameelekea maji ya chai.nyomi ilikuwa c ya kitoto
 
Kumbe CCM hawana pesa ndio maana wameshindwa kutumia Chopa! Amenieleza rafiki yangu aliye jirani sana na Malisa.
 
Back
Top Bottom