Mkutano wa CHADEMA M4C Kigamboni

Mgelukila

JF-Expert Member
May 27, 2012
224
43
Leo eneo la vijibweni linalopita dalaja Isaya Charles aligombea nafasi ya udiwani lkn kura hazikutosha hata hivyo inasemekana alichakachuliwa mgeni rasimi ni George kutoka makao makuu ya chadema.ulikuwa mkutano wa kuwashukuru wananchi na kuwaeleza haki inapiganiwa wasisubiri watapeliwe na magamba, wametuma ujumbe kwa mh. Ndungulile MB aache uwoga alianza vizuri kwa kusema ukweli bungeni wakamwita na kumtisha hadi leo anaogopa kuitisha mkutano na wananchi alitolewa nje Dodoma siku 3 akawa shujaa sasa kaufyata AACHE UWOGA. Katishwa na vigogo wa ufisadi anapoteza ujasili anakaribishwa CDM. Picha za eneo la mkutano.
 

Attachments

  • Photo0218.jpg
    Photo0218.jpg
    12.7 KB · Views: 175
  • Photo0220.jpg
    Photo0220.jpg
    12.3 KB · Views: 173
Ulianza mapema saa nane nilichelewa eneo la tukio nimefika nimekuta unaendelea sasa nikiita live kunakosa maana hata picha nimepata kamanda.
 
CHADEMA huku jimbo la KIGAMBONI tuongeze nguvu zaidi. Maeneo mengi yanasubiri MABADILIKO ya kweli, mfano: mbagala pamoja na Kata zake ZOTE.... Moto wa kweli UNAHITAJIKA maeneo haya.
 
Back
Top Bottom